William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
4-1-2022
kati ya saa tatu hadi saa tano unusu usiku
William Lukuvi anafanya majadiliano na baadhi ya vijana wa Dar es Salaam baadhi wakiwa watumishi wa serikali eneo la Masaki na katika maongezi mmoja wao kwa jina la William Ndaki anauliza itakuwaje kama Rais atamtengua nafasi ya Uwaziri.

Siku mbili baadaye maeneo haya kinafanyika kikao kilichompa wazo William Lukuvi alikuwa akifanya mazungumo ya simu asubuhi saa nne na dakika kumi na baadaye mazungumzo ya ana kwa ana mchana na Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda.

William Lukuvi anaomba miadi na Kwa Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kumueleza kuwa anafahamu kuwa tayari yeye ni tatizo amechafuka baada ya Rais kusema anafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri.

Anaeleza kuwa anachotaka yeye ni Mizengo Pinda kumuhakikishia kuwa endapo atachukua fomu ya Uspika jina lake litarudi kutoka kamati kuu na kuwa mgombea wa nafasi ya Uspika endapo atatemwa kwenye baraza la Mawaziri.

Mizengo Pinda anamuomba muda ili apate nafasi kumjibu. Usiku wa siku inayofuata tarehe 7-1-2022 wanazungumza na Stephen Wasira na mkutano mwingine unapangwa.

Mtaa wa Mwangosi Dodoma zilipo baadhi nyumba za Lukuvi wanakutana Geoffrey Mwambe, Luhaga Mpina, Job Ndugai, Leornad Chamuriho pamoja na Lukuvi mwenyewe ndipo walipokutania. Kwa mara ya kwanza wanakutana na kumpa pole Aliyekuwa spika Job Ndugai.

8-1-2022
Mkutano wa pili unafuata kati ya Lukuvi na Kabudi, Lukuvi anapewa go ahead kugombea Uspika na mratibu wa kampeni ni Luhaga Mpina anakabidhiwa kazi hiyo.

08-1-2022
Lukuvi anaanza mawasiliano na Wajumbe wa NEC akitumia mmoja ya wanawake ambao amekuwa na uhusiano nao wa kimapenzi bungeni, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 38 ni mjumbe wa NEC kutoka kanda ya Kati.

Mjumbe anaeleza kuwa anataka bajeti milioni 150 kwa ajili ya wajumbe na siku hiyohiyo anaanzisha group sogozi la whatsapp kwa Siri anaanza kuwaadd watu wa karibu Na Lukuvi Bungeni ambao wengi wao ni wabunge. bahati mbaya anamuadd Mbunge mmoja ambaye ni kitengo bila kujua.

Mchana wa tarehe 8-1-2022.

Lukuvi na mwanae wanashauriana kutafuta watu wa kumsaidia kwenye mitandao ya kijami anamueleza lengo lake Na Mtoto wa Lukuvi anakutana na Gladness Lyamuya anamuunganisha na KAWI SHAYO na wanataka kawi atumie akaunti zake za instagram kusifia kazi za Lukuvi kwa sasa.

Lukuvi anasema anaweza kumpa milioni 15 kwa kazi hiyo tayari mwanadada ameshaanza kazi na hela zimeweka kupitia equity bank. Huyu kawi ndiyo mwenye akaunti ya Originaleast zamani sasa ana akaunti inaitwa Politics mtandao wa insta.

Alfajiri ya tarehe 9-1-2022 kupitia Group la Whatsapp. Lukuvi, Job, Mwambe, kabudi, Mpina, Kalemani, Chamuriho wameanza kuchangishana Pesa ili Lukuvi Awe Spika".

Asubuhi ya leo Lukuvi bila kujua anarekodiwa ameenda nyumbani kwa Frank Mtei kumuomba pesa azungumze na shabiby pamoja na matajiri wengineo wa Dodoma kwa ajili ya mbio za Uspika.

Ntawajuza zaidi.
 
Kwa upande wangu huyu waziri alijitahidi sana kuondoa makandokando kwenye Wizara tata kama ya ardhi

Pia alikuwa mpiga kazi hasa ukweli naona kama anaandaliwa vile sina uhakika Kama CCM wanaweza kumuacha kizembe hivi.

Acha tuone itakuwaje, pole tu kwa wale waliotenguliwa.
 
Kwa upande wangu huyu waziri alijitahid sana kuondoa ma kando kando kwenye wizara tata Kama ya ardhi

Na alikua mpiga kazi hasa ukweli naona Kama anaandaliwa vile Sina uhakika Kama ccm wanaweza kumuacha kizembe hivi


Acha tuone itakuaje pole tu kwa wale walo tenguliwa

Huyo mzee apumzike hatumtaki. Alichowafanyia waisilamu/wazanzibari hakitasahaulika,,,

 
Kimkakati kabisa Lukuvi ameachwa kwenye Baraza la Mawaziri ili akachukue nafasi ambayo anazo sifa kuliko Mbunge yeyote.
Kwanza Lukuvi ameingia Bungeni 1995, Amekuwa Waziri wa Sera na Bunge. Anafahamika na kila Mbunge na anakubalika.
 
Kwa upande wangu huyu waziri alijitahidi sana kuondoa makandokando kwenye Wizara tata kama ya ardhi

Pia alikuwa mpiga kazi hasa ukweli naona kama anaandaliwa vile sina uhakika Kama CCM wanaweza kumuacha kizembe hivi.

Acha tuone itakuwaje, pole tu kwa wale waliotenguliwa.
Ni kweli mkuu nafikiri upo sahihi.
 
Kwa upande wangu huyu waziri alijitahidi sana kuondoa makandokando kwenye Wizara tata kama ya ardhi

Pia alikuwa mpiga kazi hasa ukweli naona kama anaandaliwa vile sina uhakika Kama CCM wanaweza kumuacha kizembe hivi.

Acha tuone itakuwaje, pole tu kwa wale waliotenguliwa.
Kabla ya Kuwaza hivyo JIRIDHISHE na kilichomtokea ARDHI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande wangu huyu waziri alijitahidi sana kuondoa makandokando kwenye Wizara tata kama ya ardhi

Pia alikuwa mpiga kazi hasa ukweli naona kama anaandaliwa vile sina uhakika Kama CCM wanaweza kumuacha kizembe hivi.

Acha tuone itakuwaje, pole tu kwa wale waliotenguliwa.
Hilo jicho lako ni la kunguru kiongozi, Lukuvi labda akajikite tu kwenye kilimo cha mahindi Isimani
 
Huyo mzee apumzike hatumtaki. Alichowafanyia waisilamu/wazanzibari hakitasahaulika,,,



Eti mama anampenda
Yaani anavyobinua mdomo unaiona chuki ndani ya nafsi yake

Ila kuna watu wanafiki hebu tuwekee ile clip aliyoeenda tena Oman kuomba msaada kwa wale wale aliokuwa anawakandia na mawaziri wengine na wabunge wengi Oman ni wazaliwa wa Tz

Hawakumfanya kitu bali alirudi bakuli limejaa na kanzu akavishwa
 
mawazo yako kama yangu tuu,isije kuwa the next spika
Kwa upande wangu huyu waziri alijitahidi sana kuondoa makandokando kwenye Wizara tata kama ya ardhi

Pia alikuwa mpiga kazi hasa ukweli naona kama anaandaliwa vile sina uhakika Kama CCM wanaweza kumuacha kizembe hivi.

Acha tuone itakuwaje, pole tu kwa wale waliotenguliw
 
Back
Top Bottom