William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

Nimeangalia kwa mbaali saana naona mama kamuacha Lukuvi kwenye uwaziri ili akagombee uspika wa bunge kufuatia kujiuzulu kwa uncle Ayubi Ndugai.

Lukuvi ana experience kubwa sana kwenye mambo ya bunge ni mbunge mkongwe na mwanaccm kindaki ndaki hajaachwa kwa bahati mbaya.

Hakuna mwanaccm ndani ya bunge kwa Sasa atakae mshinda Lukuvi wakipambana kwenye sanduku la kura kwa wabunge wa Ccm

Karibu Willium Vaghing'embe Lukuvi mbunge wa Isimani kua spika mpya wa bunge Letu
 
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Lukuvi huyu mdini asiyependa waislam na hasa wazenj au mwengine?
Sidhani kama mama amesahau haraka hivyo
 
Hicho kitu cha kuwaza kuwa Lukuvi anapangwa kuwa Spika hakipo kwa 100% mbele ya Msoga gang.
Hakiwezekani na hakitawezekana wakati Samia akiwa madarakani.

Wewe jua tu, Lukuvi alikuwa;
-threat wa kiti cha urais
-threat kwa wazanzibar
-threat kwa waislamu
-threat kwa wamiliki wakubwa wa ardhi.

Kwa sasa Lukuvi ajipange tu kwenda kulima Mahindi kule kwao, maana huenda hata 2025 ubunge hatapewa.
 
Lukuvi huyu huyu wa Std VII, Mwalimu wa Grade C wa shule ya msing aliyeingia CCM kupitia umoja wa vijana.

Lukuvi yuko OVERATED sana. Anabebwa na majungu, unafiki, usaliti na kujikomba. Hivyo ndiyo vimemuwezesha kuwa Waziri kipindi cha Mkapa, Kikwete na Magufuli.

HAFAI KUWA SPIKA WA BUNGE
 
Hivi nyoka mwenye Makengeza yupo jamani, nadhani anawafaa uspika pale ndani.
 
Kumbe umeliona mkuu eti,,, anavyobinuwa mdomo wake ni dhahiri mshkaji anachuki na waarabu/waisilamu, dahhh,,, mama anamlea sana.

Jamaa analeta ubaguzi na hapo hapo anaenda kuomba msaada kwa waomani,,,hii akili ya wapi. Haya bwana,,uzuri wa waomani walibarikiwa kwa ukarimu na roho safi. Moja ya nchi iliyobarikiwa watu wake most of them ni wakarimu.

Nitaicheki iyo clip babaa
 
Lukuvi huyu mdini asiyependa waislam na hasa wazenj au mwengine?
Sidhani kama mama amesahau haraka hivyo

Mama hana sauti ,yeye anapangiwa tu kutoka Msoga!!! Nimekwisha watajia Spika ajae huko kwenye thread yangu msipoteze Wakazi wenu.
 
Afai huyo Mnyalu mjivuni, dikteta,hana uhimilivu wa hoja atatumia mda mwingi kujibizana na wabunge badala ya kubalance
 
Mikikosa Sana mpeni hata polepole anaweza mudu vishindo
 
Ngoja tuone nadhani ndio imetoka hio kustaafu hukoooo....
 
Kwanini umwite bi mwarabu na siyo SSH?

Kulikua na Meko, sasa tuna chief hangaya au bi mwarabu hizo ni nick name za viongozi za kawaida kama jk mwenyewe mshua wetu tulimwita dhaifu unataka tufanyeje sasa
 
Hasidi huwa hafanikiwi ni kama mchawi tu
 
Na elimu yake ya kuunga unga ? Kwani Kainerugaba Msemakweli si yupo ? Labda aloge kama kawaida yake

Huyu daima amekua akitegemea Majaliwa atolewe ili yeye awe PM na suit alishashona
 
Pengine kweli ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…