William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

Kama aliungaunga elimu yake na ikaungika vizuri kwa mujibu wa sheria za nchi yetu kuna ubaya gani wewe nyonyo unayeishi na mkeo kwa wakwe zako
Na elimu yake ya kuunga unga ? Kwani Kainerugaba Msemakweli si yupo ? Labda aloge kama kawaida yake

Huyu daima amekua akitegemea Majaliwa atolewe ili yeye awe PM na suit alishashona
 
Nimekosea kuandika speaker lakini nimeshidwa kubadilisha … keyboard za simu hizi..

Masilingi
Chenge
Lukuvi
Tulia







 
Katiba ya JMT, ninadhani unataka Spika wa Bunge,awe Mbunge,
Masilingi na Chenge hawa siyo wabunge, lakini wateuliwe kuwa wabunge kwenye zile nafasi 10 za Rais,kama bado zipo.
 
Katiba ya JMT, ninadhani unataka Spika wa Bunge,awe Mbunge,
Masilingi na Chenge hawa siyo wabunge, lakini wateuliwe kuwa wabunge kwenye zile nafasi 10 za Rais,kama bado zipo.
Si lazima wawe wabunge. Uchaguzi fulani mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo wa upinzani alikuwa Mabere Marando na hakuwa mbunge. Na alishika nafasi ya pili....
 
Na elimu yake ya kuunga unga ? Kwani Kainerugaba Msemakweli si yupo ? Labda aloge kama kawaida yake

Huyu daima amekua akitegemea Majaliwa atolewe ili yeye awe PM na suit alishashona
Elimu ya Kuunga lakini Mwenzako Katoboa hadi kuwa Waziri awamu tatu Mfululizo, ana Investments na tayari ni mtu mwenye hadhi yake ktk jamii na maarufu with positive Personality.

Sisi tutabaki tu kupiga Majungu na kushangilia oooh Ndugai out, Lukuvi out .
 
Hilo jicho litakuwa na makengeza huwezi kumpa uspika mtu uliyetwambia anataka ufalme 2025
 
Kulikua na Meko, sasa tuna chief hangaya au bi mwarabu hizo ni nick name za viongozi za kawaida kama jk mwenyewe mshua wetu tulimwita dhaifu unataka tufanyeje sasa

Je, akitokea mmoja kati ya nchi za kiarabu akatamka neno kwa raisi wao "bi mwafrika" utajickiaje??
 
Kwani mleta mada amesema Lukuvi anaandaliwa kua spika wa bunge la wazanzibari au waislamu?

Haijalishi,, in short uyu hafai kuwa kiongozi. Unaongea maneno ya chuki na hapo hapo unaenda kuomba msaada kwao. Huu ni upumbafu haswaa. Haoni aibu!!!! Uzuri wa waarabu walijaaliwa ukarimu na roho swafi
 
Lukuvi tuna clip yake kule kanisani alisema tanganyika haitaacha kuikalia kibabe Zanzibar., tunasubiri aingie kwenye 18 tuangalie na uraia wake kama sio mrundi
 
Katika vitu samia hawezi kubali basi nikumpa Gang uspika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…