William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

Umejitahidi kutumia majina ya wahanga ili kunogesha story yako, makundi ya CCM safari hii yameibuka mapema sana na yako wazi, sio siri.

Samia hana jinsi lazima awaweke watoto wa rafiki zake ili wampe usalama huko chamani kwenu.

Hii nchi kwasasa haijengwi tena, tusidanganyane, naona wote huko CCM ndio mnajijenga kuelekea 2025, Samia anajijenga kwa hofu na kificho.
 
Fekero
 
Duh!
Kumbe kupata hiko cheo lzm utengeneze network na mkwanja uliwe!!!
 
Kuwania uspika wakati kiti kipo wazi sio kosa. Pili kufanya kampeni sio kosa. Tatu ili nafasi ya uspika sio ya uteuzi ni ya kupigiwa kura ambapo wajumbe wa vikao halali ndko waanuzi.

Wewe ni mnafiki na mchonganishi unayeendeshwa na chuki binafsi.
 
Mafweza umeamua kumkunia kunguni mapema mapema🤔.
 
Ila tarehe 09 January bado haijafika usiku
NI tayari imeamzia usiku wa saa 7 (00:01am) na alipomalizia kiwaona wamiliki wa mahotel km A Shabiby na FM wa Bambalaga iliyopo viwanja vya Lukuvi Njedengwa huo NI ukweli
lkn Lukuvi hafai mwambieni Azan Zungu ana weledi na sio STD 7
 
Reactions: vnn
Yaani moto umewaka kwani msoga wanafanyaje ? Si fitina zao tunaziona mpaka zimerudishwa ikulu tena,
Kazi iendeleeee........hata iweje msoga watajibiwa muda si mrefu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…