William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

Hawa watu ndivyo wanatafutaga madaraka. Huyu lukuvi ex std seven anataka kua speaker. Hata kama kajiendeleza kielimu hana darasa linajulikana zaidi ya kua na vyeti feki. Uspika tunahitaji japo elimu ya chuo kikuu. Kuna naibu speaker msomi sijui wanahangaka nini. Kama ni mtu mwingine mzee kabudi apewe hiyo nafasi sio hawa watu wa madili.
Lukuvi licha ya kushika nafasi kubwa wanataka wao tu waongoze milele.
Binafsi ningeshauri hiyo nafasi apewe kabudi ili nchi iweze kuendelea kunufaika na weledi wake kwenye sheria na uzalendo wake kwa taifa.
 
Kuwania uspika wakati kiti kipo wazi sio kosa. Pili kufanya kampeni sio kosa. Tatu ili nafasi ya uspika sio ya uteuzi ni ya kupigiwa kura ambapo wajumbe wa vikao halali ndko waanuzi.

Wewe ni mnafiki na mchonganishi unayeendeshwa na chuki binafsi.
LUKUVI HAFAI tupo tusindikie mate na hajazuiwa kuchukua fomu
 
Muongo mkubwa. Acha kutuletea ftna!
Hujui usemacho, and one of the uniformed fellas!!
 
Lukuvi anapaswa kuwa waziri mkuu………
 
Mil 150 za kupata u- spika, kwa wenye Chama sio jambo la ajabu kabisa kama kumvua mtoto pampasi ukakuta imeloana!
 
True
 
Tuambie wewe unajua nini....? No data no right to speak.
Never bring innuendos to massage your personal ego or egos of your Masters. We aren't fools. Get facts not conjectures. Siku njema.!
 
Kunguni zinasagwa ? AU ?? Natania tu !!
 
Hivi ni kweli??
 
NI tayari imeamzia usiku wa saa 7 (00:01am) na alipomalizia kiwaona wamiliki wa mahotel km A Shabiby na FM wa Bambalaga iliyopo viwanja vya Lukuvi Njedengwa huo NI ukweli
lkn Lukuvi hafai mwambieni Azan Zungu ana weledi na sio STD 7
Zungu for Speaker ?? Oh! Big NO !
 
Tatizo anapenda kusema uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…