Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Mods wamefuta swali langu eee...nasubiriaHeri amekataa kwenda,hicho kipindi kilikuwa ni mtego,walitaka wakazungimzie kibamia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods wamefuta swali langu eee...nasubiriaHeri amekataa kwenda,hicho kipindi kilikuwa ni mtego,walitaka wakazungimzie kibamia!
Mm nnayo ntakupa[emoji125] [emoji125]Hemu jamani naomba hizo picha basi au vdeo za kibamia cha le mutuzz
Na Mimi naomba mkuuMm nnayo ntakupa[emoji125] [emoji125]
HahahahahahahahahhahKamera zingeanza kumulika kwny zipu yake hata mm nisingeenda
Umesahau zamani watoto vikojozi walikuwa wanapitishwa mitaani na ngoma, ndivyo walitaka kumfanyizia le mutuz hawa akina Star tv!Mdahalo wa maadili hahaha angeongea nini wakati yeye mwenyewe maadili amescore F
William Malecela aka le mutuz ameshindwa kutokea katika mjadala uliozungumzia hatima ya utamaduni wetu na maadili uliorushwa mubashara na luninga ya Star.
Mwendesha kipindi ndugu James amesema walimualika mzee le mutuz kutokana na uhenga na nafasi yake katika jamii lakini ameshindwa kutokea. Ameahidi kumualika tena katika siku za usoni.
Chanzo: Star tv tuongee asubuhi!
Kichwa na habari tofautiWilliam Malecela aka le mutuz ameshindwa kutokea katika mjadala uliozungumzia hatima ya utamaduni wetu na maadili uliorushwa mubashara na luninga ya Star.
Mwendesha kipindi ndugu James amesema walimualika mzee le mutuz kutokana na uhenga na nafasi yake katika jamii lakini ameshindwa kutokea. Ameahidi kumualika tena katika siku za usoni.
Chanzo: Star tv tuongee asubuhi!
Team viba100 ilikosa uwakilishi ndio kukacha kwenyewe vinginevyo mngepeleka muwakilishi!Kichwa na habari tofauti
Umeandika amekacha,mtangazaji hakusema hivyo
Usiwe kama Nipashe
Hatari sanaLabda walitaka watazamaji mumfunde!
Nimeshakutumia kibamia changu inbox halafu hata husemi asante!![emoji32][emoji32][emoji32]Mods wamefuta swali langu eee...nasubiria
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we umelogwa si bureNimeshakutumia kibamia changu inbox hata husemi asante!![emoji32][emoji32][emoji32]
We jamaa [emoji23]Heri amekataa kwenda,hicho kipindi kilikuwa ni mtego,walitaka wakazungimzie kibamia!
yani hayo majina ukiyaandika nacheka sana hahaha [emoji28][emoji23][emoji23]Hawaku address invitation vizuri aanageandika Le Mutuz Kokobanga Mobimba angeipata.
utampa !!?Mm nnayo ntakupa[emoji125] [emoji125]
hhaaahaha ngashtuka aiseeeUmesahau zamani watoto vikojozi walikuwa wanapitishwa mitaani na ngoma, ndivyo walitaka kumfanyizia le mutuz hawa akina Star tv!