William Malecela akacha mdahalo wa maadili Star tv!

CCM tunakosea tunapowafanya watu wenye akili za watoto kuwa ndio wanaosifia chama. Uongozi imara ungekataa watu kama huyu Le Mutuz kusemea chama. Ili tuwe makini tunahitaji watu wenye analytical minds na walopevuka sio hawa bado wako kwenye teens age
Kwa hiyo Le mutus ni teenager?
 
Huyu mzee anamuabisha sana baba yake kama asingekuwa anafanana na baba yake nisingeamini kama kazaliwa na yule mzee mwenye busara. Yuko tofauti sana na akina Mwele.
Baba yake ana busara gani?Ya kubadilisha dini kuitwa Jumanne ili apate Urais?Busara ni ZERO TU
 
jitu lenyewe halina maadii ,lingeongea nini sasa huko star tv
 
Kwann kakimbia nilipanga kupiga simu nimuulize kibamia kile ni chake?
 
CCM tunakosea tunapowafanya watu wenye akili za watoto kuwa ndio wanaosifia chama. Uongozi imara ungekataa watu kama huyu Le Mutuz kusemea chama. Ili tuwe makini tunahitaji watu wenye analytical minds na walopevuka sio hawa bado wako kwenye teens age

le mutuz yeye mwenyewe ni kiongozi tena jumuia ya wazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…