William Malecela, ikikupendeza gombea ubunge jimbo la Mtera

Adverse Effect

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
2,049
Reaction score
5,449
Salamu kwako Lemutu Baharia.

Nakushauri 2025 chukua fomu ya ubunge kwa chama utakachoamua katika jimbo la Mtera.

Asubuhi na mapema kabla jua halijachomoza, utakuwa umempiga chini Lusinde.

Uonyeshe njia na koneksheni vijana wa Mtera waende USA.

Endeleza legacy ya Mzee Malecela alipoishia.
 
Naunga mkono hoja, campaign manager Davis, mimi nasimamia kitengo cha publicity, kwa kuanzia tunapiga bonge la fund rising ya kufa mtu kwa jina la "Komboa Mvumi Campaign", kale kajamaa, kanakwenda chini mapema asubuhi by saa 4:00 wanaume tunamaliza kazi kwa funga kazi!
P.
 
Naunga mkono hoja, campaign manager Davis, mimi nasimamia kitengo cha publicity, kwa kuanzia tunapiga bonge la fund rising ya kufa mtu kwa jina la "Komboa Mvumi Campaign", yule Andunje ropo ropo, anakwenda chini mapema asubuhi by saa 4:00 wanaume tunamaliza kazi kwa funga kazi!.
P.
Huko kumjuwa kwenyewe hawamjui

Ova
 
Salamu kwako Lemutu Baharia.

Nakushauri 2025 chukua fomu ya ubunge kwa chama utakachoamua katika jimbo la Mtera.

Asubuhi na mapema kabla jua halijachomoza, utakuwa umempiga chini Lusinde.

Uonyeshe njia na koneksheni vijana wa Mtera waende USA.

Endeleza legacy ya Mzee Malecela alipoishia.
William Malecela umeamua kuja kivingine? Peleka uduanzi wako huko! Tumechoka na kuwa na wabunge vichaa toka Mtera tuu kwa miaka 10 mnataka mtuingizie mwingine tena miaka 5? Why Mtera pekee ndio iwe inaleta machizi?
Kazi yako ya upambe kwa matajiri mjini na kuwakuwadia vimwana mbona inakutosha?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja, campaign manager Davis, mimi nasimamia kitengo cha publicity, kwa kuanzia tunapiga bonge la fund rising ya kufa mtu kwa jina la "Komboa Mvumi Campaign", yule Andunje ropo ropo, anakwenda chini mapema asubuhi by saa 4:00 wanaume tunamaliza kazi kwa funga kazi!
P.
Pascal, kwani huyo kuwadi mna mahusiano ya karibu kiasi hicho? Utaacha watu wakudharau bure!

Watu wenye real ID huwa hatu comment hivi.
 
Salamu kwako Lemutu Baharia.

Nakushauri 2025 chukua fomu ya ubunge kwa chama utakachoamua katika jimbo la Mtera.

Asubuhi na mapema kabla jua halijachomoza, utakuwa umempiga chini Lusinde.

Uonyeshe njia na koneksheni vijana wa Mtera waende USA.

Endeleza legacy ya Mzee Malecela alipoishia.
Kweli kabisa huyo panzi wa sasa hana maana yoyote
 
Pascal, kwani huyo kuwadi mna mahusiano ya karibu kiasi hicho? Utaacha watu wakudharau bure!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Heshima kitu cha bure, msimuite member kuwadi, hata kama ni kweli he is!.
Jamaa tumejuana humu jf, ila I know the inner family, nimesoma nao shule moja, kwao tumecheza.
We became friends, japo ni on and off, ila ni friends.
P
 
Pascal wewe unaishi wapi? Kuwadi si ndio Chawa kwa lugha ya sasa? Hujui kuwa kuwa chawa (kuwadi) ndio kazi vijana wanaonea fahari akiwemo huyo William ingawa ni mzee asiyejitambua.
Jiepushe naye atakuvuruga

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Pascal wewe unaishi wapi? Kuwadi si ndio Chawa kwa lugha ya sasa? Hujui kuwa kuwa chawa (kuwadi) ndio kazi vijana wanaonea fahari akiwemo huyo William ingawa ni mzee asiyejitambua.
Jiepushe naye atakuvuruga

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mimi naishi hapa kwa Mtogole, nimepanga ubazi mzima.
Kazi ni kazi, bora mkono uende kinywani!. Huyu ni age mate wangu sisi wa 60's hivyo tumeisha bypass age ya kuvurugwa!.
P
 
Back
Top Bottom