William Malecela, ikikupendeza gombea ubunge jimbo la Mtera

William Malecela, ikikupendeza gombea ubunge jimbo la Mtera

Salamu kwako Lemutu Baharia.

Nakushauri 2025 chukua fomu ya ubunge kwa chama utakachoamua katika jimbo la Mtera.

Asubuhi na mapema kabla jua halijachomoza, utakuwa umempiga chini Lusinde.

Uonyeshe njia na koneksheni vijana wa Mtera waende USA.

Endeleza legacy ya Mzee Malecela alipoishia.
Aisee kazi kwenu watu wa Mtera. Mnapewa ushauri huku, mpige chini Bajaji mchukue Scania la China.
 
Huku na kule Bomayeee Mobimba Chief Engineer anashinda ubunge anakula uteuzi anakuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.

Anatumia robo ya exposure yake ya kuzunguka dunia,kuibadili Tanzania kuwa kama State(Mbelez).
 
Mimi naishi hapa kwa Mtogole, nimepanga ubazi mzima.
Kazi ni kazi, bora mkono uende kinywani!. Huyu ni age mate wangu sisi wa 60's hivyo tumeisha bypass age ya kuvurugwa!.
P
Tumo wote humo kwenye age, ni kwa vile masharti ya JF yanasema kama hutaki wakujue inabaki hivyo. Lakini ungemjua Chakaza ungeishia kucheka maana kuna wakati mna piga vitu pamoja, ila huyu mzee mwenzetu sio kabisa na sio mfano bora wa kuigwa na vijana wetu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja, campaign manager Davis, mimi nasimamia kitengo cha publicity, kwa kuanzia tunapiga bonge la fund rising ya kufa mtu kwa jina la "Komboa Mvumi Campaign", kale kajamaa, kanakwenda chini mapema asubuhi by saa 4:00 wanaume tunamaliza kazi kwa funga kazi!
P.
naunga mkono Bwana Msimila,humo bungeni yamejaa mavilaza wengi.yanajaza ukumbi tu bila tija.tukimaliza na huyo pia twende kwa msukuma.
 
ila huyu mzee mwenzetu sio kabisa na sio mfano bora wa kuigwa na vijana wetu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ile public life yake na real life ni vitu viwili tofauti, in real life jamaa ni mtu poa sana, kwanza hanywi pombe, havuti sigara, na wale ma babez ni pose tuu za snaps, nothing more, ana a very good exposure inayohitajika bungeni!.

Kiukweli kabisa huyu jamaa ni kichwa sana na hazina kwa taifa, ana uwezo mzuri kujieleza msikilize hapa
That was 10 years ago!.
P
 
William Malecela umeamua kuja kivingine? Peleka uduanzi wako huko! Tumechoka na kuwa na wabunge vichaa toka Mtera tuu kwa miaka 10 mnataka mtuingizie mwingine tena miaka 5? Why Mtera pekee ndio iwe inaleta machizi?
Kazi yako ya upambe kwa matajiri mjini na kuwakuwadia vimwana mbona inakutosha?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Unaumia nn sasa?
 
Unaumia nn sasa?
Unafahamika ulivyo
20221122_160734.jpg


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom