Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Huko kumjuwa kwenyewe hawamjuiNaunga mkono hoja, campaign manager Davis, mimi nasimamia kitengo cha publicity, kwa kuanzia tunapiga bonge la fund rising ya kufa mtu kwa jina la "Komboa Mvumi Campaign", yule Andunje ropo ropo, anakwenda chini mapema asubuhi by saa 4:00 wanaume tunamaliza kazi kwa funga kazi!.
P.
William Malecela umeamua kuja kivingine? Peleka uduanzi wako huko! Tumechoka na kuwa na wabunge vichaa toka Mtera tuu kwa miaka 10 mnataka mtuingizie mwingine tena miaka 5? Why Mtera pekee ndio iwe inaleta machizi?Salamu kwako Lemutu Baharia.
Nakushauri 2025 chukua fomu ya ubunge kwa chama utakachoamua katika jimbo la Mtera.
Asubuhi na mapema kabla jua halijachomoza, utakuwa umempiga chini Lusinde.
Uonyeshe njia na koneksheni vijana wa Mtera waende USA.
Endeleza legacy ya Mzee Malecela alipoishia.
Pascal, kwani huyo kuwadi mna mahusiano ya karibu kiasi hicho? Utaacha watu wakudharau bure!Naunga mkono hoja, campaign manager Davis, mimi nasimamia kitengo cha publicity, kwa kuanzia tunapiga bonge la fund rising ya kufa mtu kwa jina la "Komboa Mvumi Campaign", yule Andunje ropo ropo, anakwenda chini mapema asubuhi by saa 4:00 wanaume tunamaliza kazi kwa funga kazi!
P.
Watu wenye real ID huwa hatu comment hivi.Naunga mkono hoja, campaign manager Davis, mimi nasimamia kitengo cha publicity, kwa kuanzia tunapiga bonge la fund rising ya kufa mtu kwa jina la "Komboa Mvumi Campaign", yule Andunje ropo ropo, anakwenda chini mapema asubuhi by saa 4:00 wanaume tunamaliza kazi kwa funga kazi!
P.
Kweli kabisa huyo panzi wa sasa hana maana yoyoteSalamu kwako Lemutu Baharia.
Nakushauri 2025 chukua fomu ya ubunge kwa chama utakachoamua katika jimbo la Mtera.
Asubuhi na mapema kabla jua halijachomoza, utakuwa umempiga chini Lusinde.
Uonyeshe njia na koneksheni vijana wa Mtera waende USA.
Endeleza legacy ya Mzee Malecela alipoishia.
Heshima kitu cha bure, msimuite member kuwadi, hata kama ni kweli he is!.Pascal, kwani huyo kuwadi mna mahusiano ya karibu kiasi hicho? Utaacha watu wakudharau bure!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Asante nimerekebisha!.Watu wenye real ID huwa hatu comment hivi.
Watu wanaoishi kwenye umasikini ulio topea, hawahitaji kumjua mtu, wanahiji tuu kubadilishiwa maisha!, Tshirt, kofia na shibe ya siku moja!, umemaliza kila kitu!.Huko kumjuwa kwenyewe hawamjui
Ova
Pascal wewe unaishi wapi? Kuwadi si ndio Chawa kwa lugha ya sasa? Hujui kuwa kuwa chawa (kuwadi) ndio kazi vijana wanaonea fahari akiwemo huyo William ingawa ni mzee asiyejitambua.Heshima kitu cha bure, msimuite member kuwadi, hata kama ni kweli he is!.
Jamaa tumejuana humu jf, ila I know the inner family, nimesoma nao shule moja, kwao tumecheza.
We became friends, japo ni on and off, ila ni friends.
P
Mimi naishi hapa kwa Mtogole, nimepanga ubazi mzima.Pascal wewe unaishi wapi? Kuwadi si ndio Chawa kwa lugha ya sasa? Hujui kuwa kuwa chawa (kuwadi) ndio kazi vijana wanaonea fahari akiwemo huyo William ingawa ni mzee asiyejitambua.
Jiepushe naye atakuvuruga
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hakuna wa kumshinda Kibajaji Mvumi labda akatwe jina lakeHuko kumjuwa kwenyewe hawamjui
Ova