William Malecela, ikikupendeza gombea ubunge jimbo la Mtera

Aisee kazi kwenu watu wa Mtera. Mnapewa ushauri huku, mpige chini Bajaji mchukue Scania la China.
 
CV aliyoitengeneza uraiani kwenye maisha ya Kila siku na ubunge ni vitu viwili tofauti
 
Huku na kule Bomayeee Mobimba Chief Engineer anashinda ubunge anakula uteuzi anakuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.

Anatumia robo ya exposure yake ya kuzunguka dunia,kuibadili Tanzania kuwa kama State(Mbelez).
 
Mimi naishi hapa kwa Mtogole, nimepanga ubazi mzima.
Kazi ni kazi, bora mkono uende kinywani!. Huyu ni age mate wangu sisi wa 60's hivyo tumeisha bypass age ya kuvurugwa!.
P
Tumo wote humo kwenye age, ni kwa vile masharti ya JF yanasema kama hutaki wakujue inabaki hivyo. Lakini ungemjua Chakaza ungeishia kucheka maana kuna wakati mna piga vitu pamoja, ila huyu mzee mwenzetu sio kabisa na sio mfano bora wa kuigwa na vijana wetu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
naunga mkono Bwana Msimila,humo bungeni yamejaa mavilaza wengi.yanajaza ukumbi tu bila tija.tukimaliza na huyo pia twende kwa msukuma.
 
ila huyu mzee mwenzetu sio kabisa na sio mfano bora wa kuigwa na vijana wetu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ile public life yake na real life ni vitu viwili tofauti, in real life jamaa ni mtu poa sana, kwanza hanywi pombe, havuti sigara, na wale ma babez ni pose tuu za snaps, nothing more, ana a very good exposure inayohitajika bungeni!.

Kiukweli kabisa huyu jamaa ni kichwa sana na hazina kwa taifa, ana uwezo mzuri kujieleza msikilize hapa That was 10 years ago!.
P
 
Unaumia nn sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…