TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Namzungumzia Mzee malecela babake lemutuz....huyu Kama sikosei wa tatu anafariki.. dadake le mutuz mwele amefariki Kama miaka miwili iliyopita
Nilikuelewa sana, ila sentensi yako ilitaka kusema mzee Malecela anazika tu watoto wake yeye personally hafi 🙆🙆
 
K
Magonjwa ya moyo yako mengi
Wengine umeme wa moyo unazingua
Wengine wana cholestrol kwenye moyo na hizi ndo hupelekea heart attack
Wengine mapigo ya moyo hayamaliz vizuri
Wengine moyo umetoboka
Yapo mengi hayo ni baadhi
Kwenye colestro hapo nafikiri unaweza kuitoa Kwa mazoez na lishe au sio?
 
yule ex wake marekani sasa atafute mwingine wa kumsumbua, na watoto wake babao ameondoka bila kuwaachia baraka, kuna siku watajuta na watamgeuka mama yao kuona aliwapoteza na kutothamini kitu cha muhimu sana kwenye maisha yao (baba mzazi). baba hata kama hana akili, ni baba tu, na ugomvi wa baba na mama watoto hawatakiwi kuingilia. na baraka ya baba ipo, baba asipokubariki hubarikiwi na akikulaani unalaaniwa. hawana baba tena, aliyekuwepo wamemtukana kwenye kadamnasi na hawajapata nafasi ya kumwomba msamaha. kama huyo mwanaume, umri ukifika atawajua wanawake wapoje na hata yeye maisha yatamkuta tu akaelewa alichokuwa anapigia babake
 
Nimewaza wale Wanawe walomtukana tuu,sijui Wana Hali Gani!
Sidhani kama watawaza,,,,,,
Mimi kiukweli Sina excuse yoyote na baba anaekimbia watoto.sina.
Kulea watoto mwenyewe kunaleta simanzi moyo unaweza ukafa ganzi ukatamani huyo jamaa afe
Yeye alisemaga aligombanaga na mama Yao,,,ila watoto wanasema aliwaaga anaenda kusalimia bongo na hakukua na ugomvi na haluwai kurudi na wala hakuwahi kiwatafuta..
My dear baba ambaye hakuwajal tangu watoto Leo hii unafikiri watakua na uchungu?
Na SI ajabu wamekua Kwa taaabu...
Kama wewe ni mwanaume hata kama unampitia taabu vip na uliyezaa nae hakikisha upotezi mawasiliano/ukaribu na wanao hata kama huna pesa ...usije baadae ukapopup tu....kulea watoto mwenyewe ni taaabu sana
 
Ngoja nione huu msiba utapokelewaje
Na upande ule...
Pole sana familia ya lemutuz....nakumbuka tu
Kipindi kile tulivyokuwa tunakutana
Mitaa ya food point namanga na kupiga stori 2,3 ila nasikitika tu mpaka
Umekufa,hukujuwa kama ulikuwa una bongo na mrangi wa jf

Ova
Mi nilishakutana nae sana enzi za ujana....he was full of life...to be honest story yake ya watoto nimeijiua miaka ya hiv karibuni....sijui Kwa nini aliamua kuwapa mgongo....anyways...R.I.P
 
Back
Top Bottom