William Malecela na Ajali za Kisiasa

Yani hili jamaa kubwa jinga kishenzi, cjui lina miaka mingapi????kweli ticha wa biology hakukosea , watu mabonge ubongo wao unakuwa mdogo kufikiria na kufanya maamuzi...ndo maana wanaweza kuachia ushuzi hata mbele ya kadamnasi.

- Umbeya huu mtoto wa kiume, angalia mjini hapa we haya tu! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 

The right to be heard does not automatically include the right to be taken seriously ~ Hubert H. Humphrey
 
The right to be heard does not automatically include the right to be taken seriously ~ Hubert H. Humphrey

Duuuh hii kitu ina apply kwako zaidi mkubwa @W.J.Malecela,tunakusikia lakini we no longer take you seriously kwasababu unafanya mambo yanayoshabihiana na watu ambao hawako serious!

Kuna mambo unahitaji kuyaacha ili uwe na successful career otherwise fikiria kuanzisha kampuni ya Bongo Movie itafit zaidi bill kuliko siasa!

Ni ushauri tu na observation yangu siyo lazima ifanane na mtazamo wako! You are not bound to agree with me but if you do it will help you a great deal!!

All the best The Biiig Show!!
 
LE MUTUZ KIBOKO YA VILAZA JF,WAPE MAMBO MKUU,naikumbuka jamboforum enzi hizo nazuga na PC YA MSHUA ILIKUWA FULL CONSTRUCTIVE,ila now cjui tuendako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…