Kwa anayefahamu jiji la New York na state za kando kando yake za New Jersey & Connectcut kuna zile bar zinazojulikana sana na wapenda dogodogo, bar hizo huitwa Go Go Bar. Wasichana huwa actually naked kwani wanachokuwa nacho ni chupi na sidiria ambayo ni kambakamba tu ili kuachia mungo wazi. Na pengine huzivua hizo ili kutia hamasa zaidi wateja ili kujaza tip $$$.
Hao wasichana wanafanya hivyo ni kazi yao au ni biashara yao na wako official hapo na wanalipia. Wanaume wenye moyo mchache kama wangu hivi ni kujituma kwa speed zote kwa vile umeanikiwa vya bure na kiingilio ni kununua kinywaji tu. Hapo dodosa na mishiko ni kwa tip, kwa dakika ujue unamfutika kwenye kamba ya ambayo ndio cupi yake $$$.
Vijana wengi wa kiafrika baada ya kufika huko huchanganyikiwa na kuona wameukosa ulimwengu huo ambao ni maraha tupu. Wanaoendekeza huwa vigumu kuachana na tabia hiyo, kwani raha nazo ukiziendekeza nyumbani hapakaliki. Kutakuwa na visingizio vingi tu vya kujenga utetezi lakini ujue ukweli ndio huo kaudhaifu kameota mizizi vigumu kuanchana nako.
Nilipofika mara ya kwanza huko vijana wanaonifahamu wakataka kunitoa tongo ili nichangamkie, walichokishangaa nilisinyaa na kuona niko kusiko kwangu, kwa vile ilikuwa siku za awali na sikuba bado na private car, ilibidi nijisikie kwamba naumbwa nahitaji kwenda kupumzika na nikachukua cab. Kwa kweli nilijikia kichefuchefu sana, lakini kwa wengine nafasi ile ni chanda cha dhahabu kwenye kisani.