William Malecela na Ajali za Kisiasa


Mkuu nakubaliana na wewe kimsingi, labda sikubaliani na wording yako. Adui ya William Malecela yuko kwake mwenyewe, anachokionesha kinakatisha tamaa baadhi ya watu, kinaweza kisiwe na maana yoyote lakini kwa wingine kinaweza kuwa sababu. Malecela open your ears, jitahidi usiwe kikwazo chako mwenyewe. Dar es salaam is not New York.
 

William nilikuwa nakutetea toka kwa hawa watu na it wa rare for me to do that; lakini naona una chuki na MIMI

na kuanza kuniambia nina majungu; I tried to be fair when needed nilikuwa nampinga huyu aliyeweka hiyo hoja kuwa

Umepata ajali ya kisiasa... so if i was wrong haukushinda hivyo viti nilivyovitaja then OK; lakini usisema ni Majungu

Majungu gani nikuwekee wewe? na kwa nini?
 



- Wivu, Chuki, Majungu kwa mwanaume hayakufai ndio maana ulipokuja likizo majuzi nilikuwa ninakukwepa bro!, maana nilishakushitukia siku nyingi kwamba ni nothing but mnafiki mkubwa sana!! Ndio maana hata maendeleo hakuna kuhangika tu huko Ughaibuni!!

Biig Shoow!!!
 



Duh wewe unanitetea? Toka lini na ile kazi yako ya kuchukua post zangu Facebook na kuja kuzitungia majungu hapa ndio unaita kunitetea? Halafu bahati mbaya sana uliyonayo hujui kudanganya tukikutana unajisema mwenye kwamba ni nani, mimi huwa ninakuangalia tu na kukucheka kimoyo moyo!! Sijawahi kuomba kutetewa na anybody kwenye maisha yangu so sihitaji anyhting from you bro, I am a big boy can handle my self!!

Biig Shoow!!
 
Huyu jamaa(le mutuz) huwa simuelewi. Kaziyake ni kutujulisha amekula wapi leo na alikuwa na nani na anaenda wapi kujirusha anapiga picha na vidada vikiwa nusu uchi.

Anaweza kufika mbali zaidi ya hapo akatuambia 'amepiga vingapi', hahahahahahaaaaaaaa, LeMutuzi siyo mchezo. Asipobadilika mtashangaa anaanza kuokota makopo jalalani.
 

kweli wewe nyangema. hivi una miaka 25 au una mika 50?
 

si utoke na mkeo? au anzisha harakati za KANUMBA tuelewe moja
 

Watu mna roho ngumu kweli kweli, mtashauri mpaka akifikisha 100 ndo atasikia
 

Nimegundua kumbe unawajua wanao leta habari, sasa mbona una hangaika sana.
 

Vizuri Kijana lakini Angalia Sana... Viongozi wa CCM wanakuangalia Hekima yako; Watoto wa Wakubwa kama Wewe

Hawana pilika pilika kama wewe; Sijaona January, Nape, Mwinyi, Nchimbi, Kawawa wakiruka ruka na watoto wa Mjini

Unajua Mzee Malecela ndie aliyekuwa anafahamika kwa na IQ kubwa kwenye Baraza la Mawaziri wa Nyerere?

Kila mtu wanamuonea Wivu, Sasa wewe Unafuata kwingine... Ni TOTOZ na Bongo Flava Toyz... wakati sasa Ungekuwa

Labda Mkuu wa Mkoa... Una chance kwa sababu ya JINA sisi hatuna hayo kama ningekuwa na JINA ningekuwa mbali
 


I am having fun with my life but very responsibly na ndio maana kesho nimewakusanya hawa Celebs wote kuja kuchangia watoto wa yatima Dodoma, I hope hao viongozi wako wa CCM ambao unasema hwana kazi ila kuniangalia mimi wataliona hilo, Great Thinker na mifano kama ya watoto wa Viongozi wengine wa CCM ni dalili ya kufilisika ideas, unajua unapoongozwa na Chuki, Wivu na majungu huwezi kufanikiwa hata siku moja ndio utaishia kama hapo ulipo!!, I am very fine na msiha yangu na right on track na maleno yangu, sijui wewe na yako, I mean by the way unajua ni muhimu sana kujua level ya uongozi ya unayejadili naye, mkuu mimi sasa ni Kiongozi wa level ya mkoa wewe je ni kiongozi wa nini na level gani?

Biig Shooow!!
 

Mungu wangu,,,,,, acha kuniongopea mimi siko us for 50yrs, I am 27yrs old, I am just advising u cz naona unakoenda siko, mbona starehe huku ndo za kumwga na hukuwa hivo, kimekupata nini huko tz?
 


Oh yeah that's better... Let's HOPE U WILL BRING your father IQ to the table and convince CCM members to vote

You in to NEC... Good luck You may encounter many defeats, but you must not be defeated.
 
Oh yeah that's better... Let's HOPE U WILL BRING your father IQ to the table and convince CCM members to vote

You in to NEC... Good luck You may encounter many defeats, but you must not be defeated.

The right to be heard does not automatically include the right to be taken seriously ~ Hubert H. Humphrey
 
Kwa mtazamo wangu, watu wamempa William ushauri wa msingi sana pasipo kujali wametumia lugha kali ama lah.
 
Nimegundua kumbe unawajua wanao leta habari, sasa mbona una hangaika sana.

- This is a free media publicity so I ahve to use to the best of my knowledge for my benefit and that is what I do, but because you cant think and see it right you have to come with that shallow conclusion!!

Biig Shoow!!
 
The right to be heard does not automatically include the right to be taken seriously ~ Hubert H. Humphrey

Smashing Verdict... uh the problem is we are disproportionately represented in welfare statistics showing the otherwise...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…