William Malecela na Ajali za Kisiasa


Hahahaa...ile mtera kashindwa babake ataweza huyu?kweli?yule kibajaji ni comedian asee..and since ccm huwa hawana sera ya kueleweka,wananchi wanapenda hivyo vichekesho vyake..huyu jamaa akaendelee kubeba box tu.
 

Ulichopewa na wadau wengi ni USHAURI
Ukiona ushauri wao haufai basi usiuchukue ama ukiona unafaa uchukue hata baada ya kuwaponda na kudhani kuwa wanakuandama! Hata kwa majibu yako tu ni udhaifu na umeendelea kujichafua.

USHAURI WANGU:
Unaonekana umezoea maisha flani ya NY.. Ni bora urudi kule ukaendelee na kazi yako ya kufunga box kwa sababu maisha ya u gangster hapo Tanzania hakuna! Kumbuka kikubwa kilichokurudisha kilikuwa ni kugombea ubunge wa EALA ambapo ulibuzura mkia vibaya! Sasa nasikia unataka Mtera. Kwa bahati mbaya sana hilo jimbo unajua alivyonyukwa mzee wako kwenye kura ya maoni.. Usidhani fimbo aliyochapiwa na wapigakura itakuwa imeliwa na mchwa.. La! Utakuta imekauka kwa kuwa kipindi kile ilikuwa mbichi ya kunesa! Jiulize kitakachokukuta.......
 
From his responses hii lazima na KE
Yaani wewe ndio buree kabisa hivi mnafikiri kumzodoa willy ndio mtapata hela ya supu asubuhi baada ya kunywa makonyagi kwa kukosa hela kwenu.sijawahi kuona blogu inayokuwa kama ya Le mutuz the guy is great.
 
Hivi na huu ni ushauri au usha- ushuzi hivi kwanini huwezi kuwa positive thinker kwanini huwezi kuinspire nyie ndio wale wa glass half empty forever. Trust me mwisho wa siku wewe hukawii kuwa mchawi au umeshaanza uchawi
 

Kweli CCM inajipoteza kwa kasi mpya nguvu mpya na hari mpya. wewe ni mjumbe wa wazazi mkoa, wewe?
 
wewe ni mtu mjinga sana Le Mutus. IQ yako nadhani ni -20. Tabia zako za mvulana wa form 1 anayejisifia kwa wenzake kuwa babake ana gari, anko ana bar mbili sinza na juzi ametoka marekani kuendesha mtumbwi!

Pambaf sana weye mzee kijana!!
:iamwithstupid:
 

Edit uongezee na hii Pathetic.
 
Hahahaa...ile mtera kashindwa babake ataweza huyu?kweli?yule kibajaji ni comedian asee..and since ccm huwa hawana sera ya kueleweka,wananchi wanapenda hivyo vichekesho vyake..huyu jamaa akaendelee kubeba box tu.

Wewe mbona huamini katika positive change hivi unajiaminisha kwamba sisi watanzania tunataka comedian bungeni shame on you. Acha njaa wewe fikiria nnje ya box
 

hii inaitwa rap katuni nimeipenda.!!! Inaonekana wewe mkali wa vina.!!
 


W. J. Malecela

Kuingalia JF na Facebook ki-rahisi kama unavyo fanya ndo vinazidi kukuweka pabaya...ebu angalia vijana wanasiasa makini wenzako ni vip wan-behave in social networking, mathalani linganisha J Makamba, Zitto Kabwe comments in social networking na madudu unayopost wewe. kweli sikio la kufa halisikii dawa
 
- Maadili nonsense kama yako hutolewa kwenye thread ya majungu na imaginations kama hii ndio maana siwezi kusikiliza coz ni simply nonsense!!

Le Biig Shoow!!

Iweje Willium unanitolea maneno ya kuudhi.It is like u re trying to say i wrote nonense.well!
Inadaiwa una miaka 50.Kama hilo ni kweli, basi ,elewa mimi nipo below 30 years.
So una umri karibu sawa na baba yangu!!Katika mila na desturi za kiafrika si jammbo jema kutoleana maneno ya kashfa na mtu mzima kama wewe.
Nadhani wana CCM wenzako ,sasa wanaelewa kwa nini vijana hawakiungi mkono chama chenu.
Ni kama unajaribu kutueleza kuwa una maisha yako na usifutiliwe..Nakueleza NO!!
Ukitaka kuwa kiongozi lazima uishi kama kiongozi, utende kama kiongozi,uvae kama kiongozi ujibizane na usiokubaliana nao kihoja kama kiongozi..
Kiufupi uwe mfano wa kuigwa na ukubali ukweli kuwa huwezi kukwepa maisha yako kuwa subject to public scrutiny!!
Vinginevyo usijitambulishe kama kiongozi..
 

- nipo huku osterbay ninaongoza fundraising ya kuaidia watoto wa yatima dodoma, vipi na wewe utakuja au utakalia maneno maneno tu hapa na majungu!!

Karibu sana ni kenyatta road, karibu na chole rd!!

Biig shoow!!
 

- ni kweli sana bro jf na facebook vinaniweka pabaya sana ndio maana nikchaguliwa hizo nafasi za uongozi wa mkoa, wilaya na kata, sawa sawa vinaniweka pabaya sana ila wewe nikikusikiliza ndio utaniweka vizuri, my foot!!

Le biig shoow!!
 
Uyu Pepe Kale ajui ata anataka nini kwa sasa,amepanic zaidi baada ya ucjhaguzi wa EALA..yani wenzake wamemgeuza kituko na wala ajistukii..
 
Reactions: Taz
Le Muutz Big Show sauti ya umeme..Seamelah mzee jahazi Malio puzo...ha ha ha ha...leo usiku tukutane Masaki kwenye mishikaki ya samaki...wape hi babys Sinta, Wema,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…