William Malecela na Ajali za Kisiasa

William Malecela na Ajali za Kisiasa

Hili dubwana jitu kubwa lakini jinga kweli kweli. Lina mambo ya kitoto, na umri wote huo wa kuitwa babu!! Ulikulia wapi wewe william? Kijijini? Limbukeni weye!!

Yaani nabii hakubaliki nyumbani hihi wewe choko no pokola kwanini hutumii jina lako kwanini 1. Hujiamini 2.hujikubali 3.umekata tamaa, pole sana Le Mutuz sio type yako
 
Mr. William Malechela,
Kwanza kabisa ninapend akukuomba msamaha ikiwa kwa njia moja au nyingine nimekukwaza. Sikua na kusudi la kukuchefua. Ila kama binadamu mwingine unaweza kumshauri ndugu yako, rafiki au mtu tu unayemfahamu pale unapoona mambo siyo mazuri.

Watu wengi sana wamekuwa wakikuandama kutokana na tabia fulani fulani. siyo kwamba wanakuchukia, bali wanakerwa na hizo tabia. Swala ambalo ungejiuliza kwa nini ni wewe tu kila siku? Basi mimi nilidhania ungeisikia sauti yangu kwa unyenyekevu kisha ukaifanyia kazi. Kwa bahati mbaya nimeone kama vile umeudhika. La Asha, hilo halikuwa lengo langu. Samahani sana. Nakutakia kil ala kheri katika safari yako ya kisiasa

- kWANZA SINA UNDUGU WOWOTE NA WEWE, KUUDHIKA? who? MIMI YUO KIDDING ME? SAAHIZI NAELEKEA MAFIAN LOUNGE CLUB KAMA KAWAIDA NAKUOMBA ONE THING, HUU USHAURI WAKO KEEP IT TO YOURSELF, LEO NIMESAINI MIKATABA MITATU YA NEW ADS KWENYE BLOG YANGU NI KWA SABABU YA KELELE ZENU HAPA JF, RATINGS ZIMEENDA JUU MNO!!

- BY THE WAY NEXT WEEK NIMEALIKWA KUONGEA KWENYE MKUTANO WA MAKANISA KULE UBUNGO, KARIBU SANA TUBADILISHANE MAWAZO MAANA ITAKUWA THE BIGGEST OF MY LIFE!!

RESPECT MUCH ON THE WAY TO MAFIAN LOUNGE CLUB!!

BIIG SHOOW!!
 
hili dubwana jitu kubwa lakini jinga kweli kweli. Lina mambo ya kitoto, na umri wote huo wa kuitwa babu!! Ulikulia wapi wewe william? Kijijini? Limbukeni weye!!

- ha! Ha! Ha! Mkuu naomba unisamehe nimekosa sana nisamehe!!1 ha! Ha! Ha! Nisamehe my foot!! Limbukeni? Baharia looong time bro!! 90% ya dunia mfukoni hapa relax enjoy the biig shoow, kumbuka starring hauwawi!! Ha! Ha! Ha!

Le mutuz!!!
 
teh..teh..teh.. Karibu tanzania. U can't have both ways especially kwa tanzania ya leo. But huenda hata huo mkao ukawa ni moja ya responsibilities za mjumbe wa wazazi (ccm) mkoa......to reach out kwa vichomi wa bongo na kuwarudisha kwenye ethical society. Jitahidi mkuu maana huenda sophia simba akakukumbuka siku moja.

- ok sasa nimefika mafian loung club naomba jamani nipumzike nile bataz kidogo, later people!!

Biig shoow!!
 
Yaani wewe si mshamba tu bali ni limbukeni uliyekubuhu, nilitegemea utakaa kimya ningekuona wa maana sana, mbaya zaidi kudhihirisha ujinga ulionao eti unaweka na picha za malaya hao hapo, sijui iwe nini, kuna wenzio wamepita hapo tena kimya kimya pasipo kufanya upuuzi kama wa kwako na inaonesha watu kama ninyi huwa mnakuwa hata kupewa hamjapewa sana sana ni sho za kipumbavu. Na sidhani kama huyo mzee ajasingiziwa mimba yako kwani siamini kama anaweza kuwa na uzao wa kipuuzi namna hiyo.

Yaani wewe ndio wale watoto walio bemendwa
 
Hahaha! Aisee wewe kiboko!
U ar in a league of ur own, refa wewe, mchezaji wewe, mshangiliaji wewe!



- Mkuu mleta mada heshima yako sana, kwenye uchaguzi wa juzi niligombea Ujumbe wa CCM Wilaya na kushinda kura 21 against 16, sasa nashangaa haya majungu umeyatoa wapi? Ha! ha! ha! ha! ha! well, nilikuwa Shoppers kwenye Show la Super Designer Khadija Mwanamboka, it was great yaani mitindo ya mavazi ya kiazawa ilikuwa supa sana, sasa hivi naenda Kawe nimealikwa kwenye White Party, nikitoka huko nitakuwa Mafian Lounge Club!! HA! HA! HA! HA! I MEAN THIS IS GREAT YOU KNOW!!

REPECT MUCH!

William John Samwel Malecela: MJUMBE WA WAZAZI MKOA & MJUMBE WA CCM WILAYA ILALA @ KATA KIVUKONI;DSM CITY!!
 
- ok sasa nimefika mafian loung club naomba jamani nipumzike nile bataz kidogo, later people!!

Biig shoow!!
Nimeamini something wrong with person. Mzee Malecela na Mzee Lusinde tunaahamu kuwa wana undugu hivyo Livingstone na William wana vinasaba vinavyoshabihiana.
 
- ok sasa nimefika mafian loung club naomba jamani nipumzike nile bataz kidogo, later people!!

Biig shoow!!

Kaka kama ungekuwa unagonga vya dunia ningekuambia kunywa bia tatu hapo lakini you are dedicated to your spirit you don't do alcohol. Much respect bro give damn shit on looser kaka. Mfano kama watu kumi wako kwenye shimo na wewe peke yako uko njee usi warushie kamba watakuzamisha loosers kaka blogu ni ajira keep it up
 
Kaka kama ungekuwa unagonga vya dunia ningekuambia kunywa bia tatu hapo lakini you are dedicated to your spirit you don't do alcohol. Much respect bro give damn shit on looser kaka. Mfano kama watu kumi wako kwenye shimo na wewe peke yako uko njee usi warushie kamba watakuzamisha loosers kaka blogu ni ajira keep it up

hukujibu lile swali langu, ni KE au ME??
 
Its very strange, and happens very rarely for the people of my kind to drop the inputs in thread of this like.
Lakini nina maneno kadhaa ya plus ushauri, you either leave Willy alone or join him. Kila wakati attacks zinapoanzishwa dhidi yake, the first thing akifanyacho ni kujidhihirisha kwa hoja.
He has always been what he is, and has no plans to stop being the one. Anafahamu namna ya kuwaekeni kona na kuwadharirisheni mara mnapomuanza. Kama ni malumbano he is beyond your level. Let him live his life jamani.
 
Ndugu yangu Le Baharia Lemutuz, the Big show, Sauti za Umeme @NY amepata ajali nyingine ya kisiasa pale kigamboni baada ya kuangukia pua katika uchaguzi wa viongozi. Waliopita kidedea ni Ndg. Adriano Richard Haonga na Zulfikar ali Mzige.

Tafadhali ndugu yangu William Usikate tamaa. Kama vipi JK akupe hata ukuu wa wilaya ukisubiria Mtera 2015. umekuwa mtetezi mkubwa sana wa Chama, hata NEPI akupe kazi ya ushauri wake kwenye maswala ya mtandaoni na siasa kwa ujumla. Kumbuka hata shyrose Bhanji naye alipitia haya haya. USHAURI. Punguza kuhudhuria kumbi za starehe na kuzunguka na wadada zetu, pengine watakuona wa maana

Yeye kapita kama Mjumbe wa Kata na Pia Mjumbe wa Wazazi wa Kata

Kwahiyo kapita kwa Kofia Mbili za Ujumbe; Hakugombea hizo Nafasi Nyeti
 
​shush william
Unajua haya maadili mnayoyasema nashindwa kuelewa nia ya JF au ya Society, ambayo juzi ilijaza uwanja kwa kulipa Shillingi 10,000 kuona hawa wadada niliopiga nao picha hapo juu, sasa unasema uwanja mzima siku ile ulijaa wananchi wasio na maadili kwa sababu wamekuja kuwaona wadada niliopiga nao picha? ha! ha! ha! ha! ha!

Wadada wote ninaopiga nao picha ni wacheza sinema, watangazaji TV an Redio; au unasema hiyo ni industry isiyo na maaadili? Are you serious au unatania?

Ninachoona humu ni kwamba watu wengi hamna maisha ndio maana mnahangaika sana hii ni treni ya Biig Shoow haisimami, imeondoka hiyoo INFACT NAWASHUKURU SANA JF KWA THIS FREE PUBLICITY I CAN LIVE WITH THIS IS WASAP SANA, NAJUA MLITEGEMA NITAINGIA CHADEMA NO NA NEVER!!

BY THE WAY MMEIONA ILE VIDEO YA JUZI SABA SABA SASA SASA IPO YOU TUBE SO NA ZINGINE ZOTE ZITAWKWA SOON SO MSIWE NA WASI WASI, KUHUSU MAISHA YANGU YA KILA SIKU NINAMUIGA RAIS OBAMA KULE FACEBOOK HUWA ANASEMA MAISHA YAKE YA KILA SIKU NA MKEWE PIA, FACEBOOK SIO MAHALI PA SIASA NI PICHA NA MASIHA YA WATU!!

NAJUA WENGI MKO BITTER PIA KWA SABABU NIMEWA-DELETE KULE FACEBOOK NI KWA SABABU YA KUKOSEA ADABU MY FRIENDS KULE, POLENI SANA!!

SALUTE PEOPLE NA LOVE YAH MCUH!!

LE BIIG SHOOW!!
 


- JUST GET LIFE BABY! HA! HA! HA! HII YENU INAITWA NATAKA SITAKI, SAWA NILIKUTAKA KWA KUTOKUKUJUA WANAOKUJUA WALINIONYA MAPEMA SANA NIACHANE NA WEWE NAMSHUKURU SANA MUNGU NILIKUACHA MAPEMA SANA, MWANAMKE MTUMZIMA ELIMU KUBWA LAKINI KICHWANI WADUDU WATUPU, THIS IS THE BEST YOU COULD DO BADALA YA KUTAFUTA MWANAME MWINGINE, NAJUA SHIDA YAKO NI MTOTO WA KIONGOZI VIPI MBONA WAPO WENGI SANA FACEBOOK KWANI NI MIMI TU?

- UNAHANGAIKA KILA KONA UNAIFUATA FUATA NINI KINAKUSUMBUA DADA? IMETOKA WANGU SINA MPANGO TENA NA WEWE, NINAAMINI UNA AKILI ZA KUTOSHA KUJUA UKWELI HAPA KWAMBA SINA MUDA ATENA NA WEWE, POLE SANA RUDI TENA FB KUNA WATOTO WA VIONGOZI KIBAO SIO LAZIMA IWE MIMI TU!!

NAKUONEA HURUMA SANA, COZ MIMI SIO WA KWANZA DUNIANI KUCHANA NA MKE, TENA MIAKA MITATU ILIYOPITA WEWE UNAONGELEA LEO, WATOTO WANGU HAWAHUSU ANYTHING NI WATU WAZIMA WANA AKILI ZA KUTOSHA KUJUA KWAMBA NINA MY LIFE TO LIVE NA KWAMBA KWA SABABU NI BIG CELEB, NINAKUTANA NA CELEBS WENGINE NA KUPIGA NAO PICHA NA ZIPO KILA MAHALI KWA SABABU MIMI SASA NI BIG CELEB AU BIG STAR!!

HA! HA! HA! HA! HA! HA! NAOMBA NIISHIE HAPA MAANA INAVUNJA MBAVU SANA JINSI UNAVYOHANGAIKA TOKA NIKUKATIE UMEME!1 PLEASE TAFUTA BWANA MWINGINE SI ULISEMA UNAYE, AU? HA! HA! HA1 BY THE WAY JUMAMOSI IAJYO NIMEALIKWA KUTOA HOTUBA KWENYE MKUTANO WA MAKANISA KARIBU SANA UJE UMUOMBE MUNGU WAKO AKUSAIDIE UONDOKANE NA MIMI KICHWANI MWAKO THIS IS BIG SHOOW NDIO KWANZA LIMEANZA BADO MAPEMA SANA!! KAA PEMBENI UONE MAANA LE MUTUZ IN THE ACTION!! NI SUPER SANA!! HA! HA! HA!

LE BIIG SHOOW!!​

@W. J. Malecela

Hapo tu ndo nakuona kama mtu mwepesi sana wa kusrespond ovyo tofauti na unavyotakiwa kuwa, plz jifunze kusema na media especially social networking like JF, otherwise you are destroying yourself
 
​ndio maana mzee john malecela hajawahi kumtambulisha huyu william kwa jamii alijua ni kituko
 
Vox populi vox Dei ukiona hivyo jua jamaa hafai. Kumbe mwanangu Zulfikar Mzige naye ameanza kuamka!
 
Nimewasoma kwa umakini DaudiMchambuzi na CCM- Mama.
Nasikitika sana Willium amepuuza busara na hekima zao.
Hata hivyo mawazo na fikra zao,kuhusu maadili ya uongozi wa umma zinaweza kutumiwa na yeyote anayetamani kuongoza watu.
 
BREAKING NEWS...
William S. Malecela hakuwepo white Party kama alivyojishaua.

To be continua
 
BREAKING NEWS...
William S. Malecela hakuwepo white Party kama alivyojishaua.

To be continua

- Hapana I changed the plan na kubaki Mafian Lounge na marafiki zangu mabebs wa ukwee toka US, picha zinakuja soon as soon as nikifika home, so fasten your belt!! kina Super Sintah, Super Kidoti na Star Johnson walitaka kunipitia lakini nikaawaambia Kawe kwa leo noma nabaki na hawa mabebs Mafian, so!

ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Back
Top Bottom