Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Umesahau ilikuwa ya yule aliyeshindwa ubunge.
- lE mUTUZ iNSTAGRAM pARTY TAREHE 2/8/2014 AT ESCAPE 1 BEACH CLUB LIVE MORE STAY TUNED FOR MORE DETAILS!1
LE MUTUZ
Huyu jamaa ni mzee lakini mpumbavu kweli. Yaani ni hasara. Sipati angekuwa mtoto wa Tajiri kama mengi. Mbona tungekoma. Bahati nzuri ametoka kwenye mkoa wa mirembe na ombaomba
Najua ahahaha huyo si mshika pembe tu watu wanakamua.. Radio tangia mwaka juzi inaongelea mpaka leo doroo..
Imemshinda ndoa biashara atawezea wapi.. Kwa miaka yake apumzike tu pale nyumbani kwa babake..
Le Bwegezz, Le mutuzz, mtu mzima asiyejielewa kuliko watoto wote wa viongozi in Tz!!
huyu baba mbona anajitia aibu namna hiyo au wanagombea bwana!!!!!?
- Batazzzzz Batannn wewe sio Celebrity so huwezi kualikwa sehemu kama hizo like jana usiku ilikuwa all Celebs tu hahahaha so lazima uwe na hasira maana hakujui mtu labda familia yako huna talent huna hata kipaji chochote upo upo tu hahaha umesubiri kujifia kama mende hahahaha ndio maana lazima uwe na hasira hahahahahahaha
le Mutuz
- utakuwa umeshawahi kugombewa na wanaume maana sio rahisi kukurupuka as you did hahahahahahha
le Mutuz
baba yako alipokuwa ba umri wako alikuwa mtu wa kuheshimika kwenye jamii....ila wewe umekuwa kubwa jinga kwenye jamii
- Unapost ujinga nakuuliza unasema ulikuwa unatania yaani umenunua bundle kwa bei yote ile kuja kutania watu Social Media wakati wenzako we make money, akili bwana kweli ni nywele!!
le Mutuz
A a a a a a, we jamaa nimekumic sana.. 
Yaan mm nkikuangalia tu ulivyo..matendo plus vituko show...tena nkirejea mashat yanayofunika vitz...nalazwa kwa kicheko- Nipo busy sana U know working on my new TV Talk Show, U know
le Mutuz
Yaan mm nkikuangalia tu ulivyo..matendo plus vituko show...tena nkirejea mashat yanayofunika vitz...nalazwa kwa kicheko