William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

Umesahau ilikuwa ya yule aliyeshindwa ubunge.

Najua ahahaha huyo si mshika pembe tu watu wanakamua.. Radio tangia mwaka juzi inaongelea mpaka leo doroo..

Imemshinda ndoa biashara atawezea wapi.. Kwa miaka yake apumzike tu pale nyumbani kwa babake..
 
Huyu jamaa ni mzee lakini mpumbavu kweli. Yaani ni hasara. Sipati angekuwa mtoto wa Tajiri kama mengi. Mbona tungekoma. Bahati nzuri ametoka kwenye mkoa wa mirembe na ombaomba
 
Huyu jamaa ni mzee lakini mpumbavu kweli. Yaani ni hasara. Sipati angekuwa mtoto wa Tajiri kama mengi. Mbona tungekoma. Bahati nzuri ametoka kwenye mkoa wa mirembe na ombaomba

- HAHAHAHA ukiona panafuka msho ujue kuna moto chini unachoma hahahahahahahahah

le Mutuz
 
Najua ahahaha huyo si mshika pembe tu watu wanakamua.. Radio tangia mwaka juzi inaongelea mpaka leo doroo..

Imemshinda ndoa biashara atawezea wapi.. Kwa miaka yake apumzike tu pale nyumbani kwa babake..

- Unataka tuongeleee walioShindwa ndoa mbona itakuwa aibu na wengine ni Viongozi wako wa Taifa, hahahaha sasa nipo ofisini kwangu Posta mpya eti ofisi yako ipo wapi mkuu hapa mjini? hahahahahah

le Mutuz
 
Le Bwegezz, Le mutuzz, mtu mzima asiyejielewa kuliko watoto wote wa viongozi in Tz!!

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

- Hii ni last night at Batazzz Bataann na Super Star Wema Sepetu & Aunt Ezekiel, tulikuwa tunakula batazzz Mediterano Beach Mbezi U know. JE KUNA MWENYE TATIZO HUKOOO?

le Mutuz[/QUOTE

le jingaz
 
Le super trillionaire ndani ya nyumba... Namkubali sana le mutuz u kno...
 
huyu baba mbona anajitia aibu namna hiyo au wanagombea bwana!!!!!?
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

- Hii ni last night at Batazzz Bataann na Super Star Wema Sepetu & Aunt Ezekiel, tulikuwa tunakula batazzz Mediterano Beach Mbezi U know. JE KUNA MWENYE TATIZO HUKOOO?

le Mutuz[/QUOTE

le jingaz

- Batazzzzz Batannn wewe sio Celebrity so huwezi kualikwa sehemu kama hizo like jana usiku ilikuwa all Celebs tu hahahaha so lazima uwe na hasira maana hakujui mtu labda familia yako huna talent huna hata kipaji chochote upo upo tu hahaha umesubiri kujifia kama mende hahahaha ndio maana lazima uwe na hasira hahahahahahaha

le Mutuz
 
- utakuwa umeshawahi kugombewa na wanaume maana sio rahisi kukurupuka as you did hahahahahahha

le Mutuz

baba yako alipokuwa ba umri wako alikuwa mtu wa kuheshimika kwenye jamii....ila wewe umekuwa kubwa jinga kwenye jamii
 
baba yako alipokuwa ba umri wako alikuwa mtu wa kuheshimika kwenye jamii....ila wewe umekuwa kubwa jinga kwenye jamii

- Hakuna mtu asiyeheshimika hapa mjini anayeweza kuwa na page zote hizi hapa JF na kupitiwa na 30,000 viewers, hahahaha asiyeheshimika hujiesma mwenyewe pole sana sasa utaheshimika vipi mtu mjinga unatumia majina ya bandia? hahahahahahha for sure hakuna anayekuheshimu

- Halafu mbona hujagusa point yako ya kugombewa na wanaume si umejisema mwenyewe hahahahahahah

le Mutuz
 
- Unapost ujinga nakuuliza unasema ulikuwa unatania yaani umenunua bundle kwa bei yote ile kuja kutania watu Social Media wakati wenzako we make money, akili bwana kweli ni nywele!!

le Mutuz

A a a a a a, we jamaa nimekumic sana.. 😛😛😛
 
Yaan mm nkikuangalia tu ulivyo..matendo plus vituko show...tena nkirejea mashat yanayofunika vitz...nalazwa kwa kicheko

- Unajua mtoto wa kiume kuanza kufuatilia mshati ya wanaume wengine na kujisema hadharani kama ulivyofanya sijui tafsiri yake, hasa unaposema unacheka na kujitekenya mwenyewe baada ya kuona amshati ya wanaume wengine kama mimi duh! hahahahahahahaha

le Mutuz
 
uyu jmaa c mwanaume kamili
ana elements za kike tangu lin mwanaume mzima uchambane na mwanamke
 
Back
Top Bottom