William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

Mambo mengine hayana msingi. Sioni sababu ya Malecela kusema haya yote na kutoa matusi kiasi hiki. Nadhani ingekuwa busara zaidi kukaa kimya au kuandika machache na yenye staha. Kuna misemo mingi ya wahenga inayotufundisha juu ya mambo ya aina hii.
 
Mjumbe wa baraza KUU WAZAZI CCM!!!!!
Mzazi gani ana haiba hii? CCM wanadhalilisha wazazi kumpa huyu jamaa hii nafasi.
Hakuna cha ajabu; huyo ndiye mtoto wa Mzee Samweli Cigwiyemisi Malecela aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama tawala CCM, Makamu wa Kwanza wa Raisi na Waziri Mkuu. Pamoja na wadhifa wote huo Mwalimu hakusita kumuita mhuni...like father like son!
 
Du! Hiyo shepu! Kweli huyu ni mchaga.
 

Attachments

  • 1404883491627.jpg
    1404883491627.jpg
    50.3 KB · Views: 1,172
Hawa wote ni well known retards..sema wanatofautiana for just an inch..mbuta nanga akionekana kumzidi mwenzie
 
Wakati mwingine hupaswi kujiingiza kwenye ligi za aina hii
bw Le Mutus,heshima yako inashuka sakafuni hata kama
ni kitu kimekuchukiza sana unapaswa kuwa kimya tuu kwani sio lazima
kuonesha kiasi cha busara zako zilivy chini kiasi hiki.sasa watu wamesha kujua
uhalisia wako.Binafsi sijapendezwa na lugha uliyotumia.inakera sana lakini sio njia muafaka kaka uliyotumia.
 
Mie kwa vituko vya Frola lyimo naona Kama ni kichaa au mwezi mchanga! Ila Le mutuz naona wakati wa utoto au ujana alikua chini ya uangalizi mkali kiasi hakuweza kujichanganya na maisha mengine
 
nazani chama cha mapinduzi ina bidi wafikirie hili jambo kwa makini sana....mambo yanayofanywa na mjumbe wao,inatufanya tuone kama chama kinakosa maadili
 
Back
Top Bottom