The Flower
Member
- Feb 28, 2013
- 48
- 33
Hakuna cha ajabu; huyo ndiye mtoto wa Mzee Samweli Cigwiyemisi Malecela aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama tawala CCM, Makamu wa Kwanza wa Raisi na Waziri Mkuu. Pamoja na wadhifa wote huo Mwalimu hakusita kumuita mhuni...like father like son!Mjumbe wa baraza KUU WAZAZI CCM!!!!!
Mzazi gani ana haiba hii? CCM wanadhalilisha wazazi kumpa huyu jamaa hii nafasi.
Du! Hiyo shepu! Kweli huyu ni mchaga.