Mzee John Samwel Malecela anajuta kuchepuka
Kinky
ukiwa na mtoto km wily bora ubadilishane na kuku ule supu!
mkuu hiyo ni dharau na uonevu au unyonyaji!...mwenye kuku atakuwa amedhulumiwa!labda wily ubadilishane na kichongeo au ufutio kama siyo bikari
Ina maana Le Mutuz ambaye ni mwanaume ameamua kujishindanisha uzuri na huyo Mbuta Nanga ambaye ni mwanamke?
R.I.P Me.......🙁
BADILI TABIA unajua kama mtu mwenye akili timu akiwekwa sehemu moja na kichaa kitu kimoja kitakacho mtofautisha mwenye akili timamu na mzima ni kuto lumbana na huyo kichaa.Le mutus nikiangakia pics zake na maneno yake namuweka kwenye kundi ambalo sitaki hata kulitaja...
Halafu hana kazi mpaka anashindana na flora? Flora mwenyewe keshajitoa fahamu...
BADILI TABIA unajua kama mtu mwenye akili timu akiwekwa sehemu moja na kichaa kitu kimoja kitakacho mtofautisha mwenye akili timamu na mzima ni kuto lumbana na huyo kichaa.
Huyo lyimo toka zamani ana julikana ni kichaa kabisa haina ubishi hivyo mtu anapo anza kulumbana nae namshangaa sana tena sana!
Yani mtu mzima anapiga picha asubuhi na mapema ili kushindana na huyo lyimo serious! Hivi utofauti wao uko wapi?
Kwakweli kuna watu wana vituko Hapa duniani lakini huyo lyimo ana uchizi uliopitiliza Daaa nikiangalia hiyo picha yake na cheka sana.........
ukiwa na mtoto km wily bora ubadilishane na kuku ule supu!
mkuu hiyo ni dharau na uonevu au unyonyaji!...mwenye kuku atakuwa amedhulumiwa!labda wily ubadilishane na kichongeo au ufutio kama siyo bikari
silence could be his better weapon, kuandika aliyo andika ni kudhalilisha hizo degree 3 alizo nazo,
#au ndo ule msemo kuwa thermometer yenyewe ina degree 100 lakin inafanya kazi kwenye kwapa#
Anajihita King of Blogs Tanzania...Le Mutuuz tisha sana kwa Mabebieez...
ukiwa na mtoto km wily bora ubadilishane na kuku ule supu!