Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
atakuja hapa na ile mi Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemsikia pia, ila usisahau kuwa anatape opportunities ingawa naamini hizo ndio kazi zinazomfaa zaidi kuliko siasa
Le mutuz alishapotea kwenye dira kitambo sana ila yeye bado anajifariji...!!Mweee kumbe ni baby? Le Mutuz hiyo jeuri inatokea wapi? Mliberali halafu anataka Ubunge eti,
Hivi hili ni bunge la watu wazima au mababy? Apana
Anaongea kupitia clouds fm radio kwamba yeye ndo anaanda mashindano ya miss Ilala! Kumbe ndo maana huwa simwelewi... Kumbe yupo kwenye mambo haya!
Duh!!!Baba ake Ba.o lake bora angepiga Nyeto kuliko kuwa na mtoto mtu mzima kama huyu.
Si nasikia wewe hamna kitu kabisa ,yani huna madhara?uliberali kipindi unaishi nje walikufanya vibaya hadi ukawa ndo basi ....kimezima?- People Miss Redds Ilala 2013 itakuwa kwenye Streaming Live at williammalecela.blogspot.com so tune in ikifika saa moja usiku utona show live u know!!
- Halafu kama vipi Kiingilio kipo chini sana TSH. 50,000 VIP na TSH. 30,000 kawaida so lets go people!!
Le Big Shoow!
JF bana! Lol
Ukiona Jogoo lina cheza na vifaranga ujue huo ni uchuro!
Wewe funga break, huyu mhuni ana watoto na mke?? labda kama unamaanisha watoto wa dada yake
anachokifanya sheikh ponda ktakuja kuleta maafa wakat anachokfanya Le Mutuz knaleta burudan..
Put this in your head "watanzania watatu wajinga kuliko wote duniani ni NAPE NNAUYE,MWIGULU NCHEMBA na SHEIKH PONDA"..
Yaani katika mijitu vilaza hili jamaa linabeba bendera,mbichwa mkubwa tu ndani hakuna kitu
Siasa zimemshinda anakimbilia ulimbwende sasa ndio anakaribia kufutika kwenye historiaAnaongea kupitia clouds fm radio kwamba yeye ndo anaanda mashindano ya miss Ilala! Kumbe ndo maana huwa simwelewi... Kumbe yupo kwenye mambo haya!
safi le mutuz mdogo mdogo ipo siku watakuelewa kaka- People Miss Redds Ilala 2013 itakuwa kwenye Streaming Live at williammalecela.blogspot.com so tune in ikifika saa moja usiku utona show live u know!!
- Halafu kama vipi Kiingilio kipo chini sana TSH. 50,000 VIP na TSH. 30,000 kawaida so lets go people!!
Le Big Shoow!
Ameingia kwenye club ya akina Lundenga, Chipungahelo, Kalikumtima, nk
Baba ake Ba.o lake bora angepiga Nyeto kuliko kuwa na mtoto mtu mzima kama huyu.