William Malecella aandaa miss Ilala!

Siasa na urembo wapi na wapi, kaona kina Lundenga wanafaidi sana totoz...!
Nimemsikia pia, ila usisahau kuwa anatape opportunities ingawa naamini hizo ndio kazi zinazomfaa zaidi kuliko siasa
 
Mweee kumbe ni baby? Le Mutuz hiyo jeuri inatokea wapi? Mliberali halafu anataka Ubunge eti,

Hivi hili ni bunge la watu wazima au mababy? Apana
Le mutuz alishapotea kwenye dira kitambo sana ila yeye bado anajifariji...!!
 
huko ndiko kunakomfaa huyu jamaa sio huku kwenye siasa,maana ukiingia humu home of great thinkers lazima na wewe huonekane kweli ni great thinker!sio huyu maana siku nyingine hata anachoandika simwelewagi kumbe anaweza mambo ya urembo!!!!
 
Anaongea kupitia clouds fm radio kwamba yeye ndo anaanda mashindano ya miss Ilala! Kumbe ndo maana huwa simwelewi... Kumbe yupo kwenye mambo haya!

- People Miss Redds Ilala 2013 itakuwa kwenye Streaming Live at williammalecela.blogspot.com so tune in ikifika saa moja usiku utona show live u know!!

- Halafu kama vipi Kiingilio kipo chini sana TSH. 50,000 VIP na TSH. 30,000 kawaida so lets go people!!

Le Big Shoow!
 
Mabebs wa ukweli u know!!! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Baba ake Ba.o lake bora angepiga Nyeto kuliko kuwa na mtoto mtu mzima kama huyu.
 
Si nasikia wewe hamna kitu kabisa ,yani huna madhara?uliberali kipindi unaishi nje walikufanya vibaya hadi ukawa ndo basi ....kimezima?


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaani katika mijitu vilaza hili jamaa linabeba bendera,mbichwa mkubwa tu ndani hakuna kitu
 
Wewe funga break, huyu mhuni ana watoto na mke?? labda kama unamaanisha watoto wa dada yake

Ana watoto kwenye ndoa yake aliyofunga na mtoto wa mmoja kati ya waasisi wa CHADEMA hayati Brown Ngwilulupi!Watoto wapo na mama yao USA
 
anachokifanya sheikh ponda ktakuja kuleta maafa wakat anachokfanya Le Mutuz knaleta burudan..

Put this in your head "watanzania watatu wajinga kuliko wote duniani ni NAPE NNAUYE,MWIGULU NCHEMBA na SHEIKH PONDA"..

Nasikitika sana sababu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana..
 
Anaongea kupitia clouds fm radio kwamba yeye ndo anaanda mashindano ya miss Ilala! Kumbe ndo maana huwa simwelewi... Kumbe yupo kwenye mambo haya!
Siasa zimemshinda anakimbilia ulimbwende sasa ndio anakaribia kufutika kwenye historia
 
safi le mutuz mdogo mdogo ipo siku watakuelewa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…