William Oduol, mgombeaji wa Ugavana Siaya, ampa mkewe kibano cha kutisha...picha zinasikitisha!

William Oduol, mgombeaji wa Ugavana Siaya, ampa mkewe kibano cha kutisha...picha zinasikitisha!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
William Oduol's Wife Crying for Justice, Fears for Her Life

In Politics, Society on April 10, 2013 at 2:49 pm

The wife of William Oduol (Siaya Gubernatorial race candidate) is going through a lot. Her name is Nancy. She is now jobless after she exhausted all her sick leave with her employer. She has been assaulted by the husband it seems she cannot get justice from anywhere else.

Here are pics of her assault.


pics-1-001.jpg



She has failed to get justice from the courts because William Oduol has all the money to bribe everyone he want to. The worst bit is that despite William being in and out of courts with domestic violence cases since 2001, he is a licensed gun holder. He recently went to his wife's residence (they are now separated) to threaten her and brag that she cannot get justice from the courts.


This just needs to stop!!!


UPDATE: William Oduol claims in a Facebook post that this is his only wife.

oduol-wife.jpg



YES: This is Oduol's current girlfriend (not wife) called Christine. That is because he is not officially divorced from Nancy who he is embroiled with in a vicious court battle.

 
the new lady thinks she is the best in the world more than the other okay mwenzio akinyolewa we tia maji. time will tell and sure God will reward every deed
 
A sad story indeed, a leader that batters women....:fear:! These r kind of stuffs that made ODM losing! Apart from lack of charisma among its candidates, the RAO lacked a sense of wananchi's choice to an extent of being so much embroiled into keeping quo status with drafting and switching tactics that costed the CORD coalition the ultimate price i.e. a throne apart from majority representation in both two houses i.e. Parliament and senate!
 
If the same story was spinned in january i tend to believe its political.
 
Why is the Kenyan government hesitant to dspossess this man's gun?
Hivi ikitokea ameua mke serikali itasema ni bahati mbaya?
 
Hii ni mbaya sana, hiki ni kipigo cha kuua.
 
A sad story indeed, a leader that batters women....:fear:! These r kind of stuffs that made ODM losing! Apart from lack of charisma among its candidates, the RAO lacked a sense of wananchi's choice to an extent of being so much embroiled into keeping quo status with drafting and switching tactics that costed the coalition the ultimate price i.e. a throne apart from majority representativeness in both two houses i.e. Parliament and senate!

mkuu Geza ulole.nilivyo ielewa habari ni kwamba Bw oduol alikuwa candidate sasa sijajua kama alipita au aliangushwa,labda unisaidie hapo.pili sina uhakika kama Raila alikuwa anampa shavu huyu jamaa apite au vipi.nimeona umeishutumu Odm pamoja na Rao.kibinadamu huyu oduol bado ni mshamba na bado anatawaliwa na mentality ya kijaluo eti ya kwamba mwanamke lazima apigwe.dunia ya leo hayo mambo yalishaisha ya kupigana na mwanamke.there are so many ways to unskin a rabbit.
 
mkuu Geza ulole.nilivyo ielewa habari ni kwamba Bw oduol alikuwa candidate sasa sijajua kama alipita au aliangushwa,labda unisaidie hapo.pili sina uhakika kama Raila alikuwa anampa shavu huyu jamaa apite au vipi.nimeona umeishutumu Odm pamoja na Rao.kibinadamu huyu oduol bado ni mshamba na bado anatawaliwa na mentality ya kijaluo eti ya kwamba mwanamke lazima apigwe.dunia ya leo hayo mambo yalishaisha ya kupigana na mwanamke.there are so many ways to unskin a rabbit.

Mkuu huyu ndugu yetu Geza Ulole anaumwa ugonjwa wa Railaphobia.
 
Last edited by a moderator:
I take anything from the gutter press with a pinch of salt, if she was his wife why is it not covered in any of the main press? Why did he parade a different person when presenting papers to iebc?
 
huyu mwanaume ni mshenzi hafai kuwa kiongozi, kwanza nimkatili sana hata kama kuna ugomvi gani kati yake na mkewe huwezi kumpiga binadamu hivyo. ukatili huu una chosha ni kwa sababu huyo mwanamke hana nguvu za kupigana naye. ila ubaya mwisho wake ni hapa hakuna chozi la mwanadamu litakalo dondoka bure Mungu wetu amponye ayafute machozi yake na ampe haki yake Nancy
 
Nasikia hapo siaya aligombea pia mdogo wake obama,nae alikua na scandal ya kuwamistreat wake zake.sijui kama alipita au vipi.
 
Jamaa mshenzi sana kaamuumiza sana mke wake.
 
pics-1-001.jpg



Mkuu kiongozi wangu Mchina,

Ingawaje natambua wajibu wangu wa kuheshimu mawazo yako hata kama siyapendi lakini katika sura nilioiona hapo pichani juu, kamwe siungi mkono hata kidogo wazo lako la eti KUTAZAMA NA UPANDE WA PILI hapa.

Huyu jamaa ni mtu mkatili, mshamba na mchafu wa tabia asiyestahili hata kidogo kugombea hata nafasi ya ubalozi wa nyumba kumi.

Japo tukio limetokea nchini Kenya, lakini nichukue fursa ya kuviomba vyamba vyetu vyote vikiwemo CUF, CHADEMA, CCM, TLP, NCCR-Mageuzi na vyama vinginevyo kwamba ni waakati mwafaka kuchagua KULINDA HESHIMA NA HADHI YA MWANAMKE NA MTOTO katika jamii yetu kwa kuingiza kigezo rasmi mojawapo kwenye katiba mpya ijayo kwamba yeyote mwenye kosa, hulka na tabia ya kusababishia madhara ama ya kimwili, kifedha au kisaikolojia asiweze kushika nafasi yoyote katika ofisi za umma endapo mtu yeyote anaweza kweli akajitokeza na uthibitisho wa kuaminika dhidi yake.

Hakika nimesikitishwa sana moyoni juu ya (1) madhara ya kimwili aliyosababishiwa mama huyu, (2) kuonekana kuzulumika kwa kutumika kimwili na kutupwa pembeni kama dodoki na mwaname mchafu huyu kabla ya kumdandia mdhaifu wake mwingine ambaye naye huenda akatendwa vivi hivi tu hapo mbeleni, na mbaya zaidi (3) ni kule kumfanya mama huyu akose ajira yake kwa kushindwa kufika kazini kutokana na maumivu makali mno mwili.

Laiti ingalikua ni kwamba jambo hili lilitokea hapa kwetu huyu mwanamme angejuta kuzaliwa pindi angekutana na akina mama zetu 'Simba Jike lenye watoto wachanga' kama vile Mama Ananilea Nkya na mama Kijo Bishimba - ashukuru hakutua kwenye 18 za akina mama shupavu hawa!!!!

Pamoja na yote, kwa kuwa JF ni mtambo ulioenea kwingi duniani, wala sintoshangaa kusikia ama kundi fulani la akinamama wanasheria, akina mama waandishi wa habari au hata NGOs tu zitakua zimefikiwa na gadhabu hizi hizi zilizotushika humu na pengine kesho tukasikia kwamba huyo Odol na fedha zake zote anahenyeshwa lupango.

Ama kweli unyama kama huu katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia kweli!!!!!!!!!!!!!

Tusiangalie upande mmoja tuu
 
mkuu Geza ulole.nilivyo ielewa habari ni kwamba Bw oduol alikuwa candidate sasa sijajua kama alipita au aliangushwa,labda unisaidie hapo.pili sina uhakika kama Raila alikuwa anampa shavu huyu jamaa apite au vipi.nimeona umeishutumu Odm pamoja na Rao.kibinadamu huyu oduol bado ni mshamba na bado anatawaliwa na mentality ya kijaluo eti ya kwamba mwanamke lazima apigwe.dunia ya leo hayo mambo yalishaisha ya kupigana na mwanamke.there are so many ways to unskin a rabbit.

Huyu bwana alinyimwa tikiti ya ugombeaji na ODM kisha akahamia chama tofauti na hata baada ya hayo
yote alipigwa chini katika mchuano. Kwa sasa kabakia anakata rufaa mahakamani. ODM walimjua ana-kasoro
na ndiposa wakampiga chini...sasa tunamuona kweupeee!
 
Why is the Kenyan government hesitant to dspossess this man's gun?
Hivi ikitokea ameua mke serikali itasema ni bahati mbaya?

Umeshajijibu mkuu....hata Saitoti wamesema alikufa kwa ajali mbaya...
 
Mwanamke apigwi makonde, anapigwa na Vits au Nadia au anaongezewa mwenzake
 
Ohooo mkuu, kumbuka ya kwamba ndoa ni sawa na watu wawili kuamua kujenga taasisi inayoitwa Familia na kwamba katika taasisi hiyo kila mmoja wao ni mwana-hisa mwenye 50% mle sawa kwa sawa tu na mwenzake hivyo hiyo hulka unayotafuta kuhalalisha penye wino mwekundu hapo inaitwa MITALA.

Ukweli ni kwamba 'mitala' si tu kwambaa ni desturi ya miaka ya '47 bali zaidi siku hizi mitala hutafsiriwa kuwa ni 'nyumba ya uhakika na salama kwa yeyote mwenye kiu kuukwaa UKIMWI kumiminiwa fasta fasta na kwa kipimo cha kumwagika tena.

Yote juu ya yote bado haujachelewa; badili tabia leo kwa UKIMWI si ajali wala adhabu toka kwa Mungu ila kwa zaidi ya 90% kitambi cha baruti hili huwashwa kutokana na tabia yako na yangu tu.

Usizunguke kwingi bure buchani huko mitaani mkuu kwani kama tamaa ni kitoweo baasi tayari unacho ndani mwako

Mwanamke apigwi makonde, anapigwa na Vits au Nadia au anaongezewa mwenzake
 
Back
Top Bottom