Kenya! Kenya!
Nawakumbusha tu hatutaki mtuletee shida, hatutaki Raia wateseke, Wakenya wanahitaji amani na utulivu waendelee kuchapa kazi zao.
Naona Ruto kaanza mara ataibiwa kura na kasema deep state hawatompa kiti maana tume ya uchaguzi IEBC wameondoa orodha ya wapiga kura kwenye daftari la kura kwenye ngome za UDA.
Tulitarajia katiba mpya iwe mwarobaini sasa mbona katiba mnayo na mnaanza tena lawama ninyi namna gani bana?
Vinginevo tuwatakie uchaguzi mwema majirani zetu wakushinda ashinde kihalali na wakushindwa ashindwe kihalali maana kwa ukanda wa mashariki tunawaangalia mno kama mfano wa kuigwa kwenyedemokrasia hivo onesheni mfano mwema.