pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Longolongo tu hizo, za kawaida kwa wanasiasa. Ruto mwenyewe ni NAIBU rais, sio makamu, hadi sasa hivi. Tena hapo mwanzoni alikuwa amepewa uhuru wa kuteua, karibia nusu ya mawaziri na viongozi wengine wa ngazi za juu serikalini. Itakuwaje eti yeye mwenyewe awe sio mmoja wa hao anaowaita Deep State, au iwe kwamba hana ushawishi ndani ya hiyo 'clique'?RUTO mwenyewe hiyo deep state au system anaonekana kuiogopa sana japo ni Naibu wa Rais