pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Longolongo tu hizo, za kawaida kwa wanasiasa. Ruto mwenyewe ni NAIBU rais, sio makamu, hadi sasa hivi. Tena hapo mwanzoni alikuwa amepewa uhuru wa kuteua, karibia nusu ya mawaziri na viongozi wengine wa ngazi za juu serikalini. Itakuwaje eti yeye mwenyewe awe sio mmoja wa hao anaowaita Deep State, au iwe kwamba hana ushawishi ndani ya hiyo 'clique'?RUTO mwenyewe hiyo deep state au system anaonekana kuiogopa sana japo ni Naibu wa Rais
Longolongo tu hizo, za kawaida kwa wanasiasa. Ruto mwenyewe ni NAIBU rais, sio makamu, hadi sasa hivi. Tena hapo mwanzoni alikuwa amepewa uhuru wa kuteua, karibia nusu ya mawaziri na viongozi wengine wa ngazi za juu serikalini. Itakuwaje eti yeye mwenyewe awe sio mmoja wa hao anaowaita Deep State, au iwe kwamba hana ushawishi ndani ya hiyo 'clique'?
RAO ni fighter wa kweli, mvua ya tear gas na vikosi vya askari vilishidwa kumzuia kwenda hadi uhuru park Miguna Miguna kumuapisha "Urais wa Kenya".Siasa ya mwaka huu sijaielewa japo nampenda RAO lakini UHURU sijui anataka kumfanyaje yule Mzee, ngoja tuone itakuaje
flaud ndo nn?Ukiona Nchi Rais yupo madarakani analia flaud tena ni Nchi ya Africa ieshimu.
Shangaa sasa,, Bob wine alituusia,, TATIZO SIO KATIBA MPYA AU KUUKUU,,Kenya wana Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi sasa haya mambo ya wizi wa kura yanatokea wapi ?
Kawaida deep state,, huwa ni system ya marais na viongozi wastaafu ambao huondoka wakiwa wameacha system madhubuti ya kusafeguard interest zao,, vinginevyo wakiacha madaraka wanaweza pata tabu sana,,RUTO mwenyewe hiyo deep state au system anaonekana kuiogopa sana japo ni Naibu wa Rais
Raila ndio chaguo la Deep State kwahiyo Kenya hakuta kuwa na uchaguzi wa haki pamoja na katiba mpya. Inawezekanaje National Intelligence itoe taarifa kuwa Raila atashinda kwa asilimia 60Kenya! Kenya!
Nawakumbusha tu hatutaki mtuletee shida, hatutaki Raia wateseke, Wakenya wanahitaji amani na utulivu waendelee kuchapa kazi zao.
Naona Ruto kaanza mara ataibiwa kura na kasema deep state hawatompa kiti maana tume ya uchaguzi IEBC wameondoa orodha ya wapiga kura kwenye daftari la kura kwenye ngome za UDA.
Tulitarajia katiba mpya iwe mwarobaini sasa mbona katiba mnayo na mnaanza tena lawama ninyi namna gani bana?
Vinginevo tuwatakie uchaguzi mwema majirani zetu wakushinda ashinde kihalali na wakushindwa ashindwe kihalali maana kwa ukanda wa mashariki tunawaangalia mno kama mfano wa kuigwa kwenyedemokrasia hivo onesheni mfano mwema.
Kenya! Kenya!

Baba did it again-upped the pace. Kamba nation yote ndani ya nyumba.
View attachment 2249154
Ruto ni raisi?Ukiona Nchi Rais yupo madarakani analia flaud tena ni Nchi ya Africa ieshimu.
nilidhani labda hio 'deepstate' ni mama ngina¿?Longolongo tu hizo, za kawaida kwa wanasiasa. Ruto mwenyewe ni NAIBU rais, sio makamu, hadi sasa hivi. Tena hapo mwanzoni alikuwa amepewa uhuru wa kuteua, karibia nusu ya mawaziri na viongozi wengine wa ngazi za juu serikalini. Itakuwaje eti yeye mwenyewe awe sio mmoja wa hao anaowaita Deep State, au iwe kwamba hana ushawishi ndani ya hiyo 'clique'?
Kwanini?nilidhani labda hio 'deepstate' ni mama ngina¿?