William Ruto has urged his citizens to get rid of U.S. Dollars because soon the Dollar will be worthless

.
 
Hamna kitu zaidi kuwa anataka kudhibiti currency exchange shops mfano wa magufuli alivyofanya, anahisi watu wanaficha pesa
 
Hamna kitu zaidi kuwa anataka kudhibiti currency exchange shops mfano wa magufuli alivyofanya, anahisi watu wanaficha pesa
Hata Mimi nawaza hivyo.. inasemekana vigogo Kenya wameficha pesa nje ya nchi inafanya mzunguko wa pesa katika banks kuwa mdogo kenya.. wamemsusa ruto
 
Hamna kitu zaidi kuwa anataka kudhibiti currency exchange shops mfano wa magufuli alivyofanya, anahisi watu wanaficha pesa
Si kweli Ruto mkuu,yupo sahihi kabisa.Many nations are dumping the US dollar for the following reasons:
1.It is a Fiat Currency i.e it is backed by nothing,na kwa sasa the Federal Reserve ina-print US dollars ad-lib,so in no time the inflation Buble will burst.So kiukweli it is worthless hata sasa,sema tu the "Mamon" is holding back it's total collapse,but it's total collapse is imminent.
2.America is not a reliable partner.Mataifa mengine yameona
US ilivyo iibia Urusi assets zake,proving that it is not a dependable partner.
3.America has exposed itself as a very evil nation,so other nations are distancing themselves from it hata in monetary issues.
 

Ndo uhuni wa US anaprint noti anawapa mikopo mtalipa na Riba juu kapata faida. Hasara zipo nyingi hapa ni masuala ya uchumi ni pana sana unaweza kwenda google ukapata madini.

Si unaona bank zao zimeanza kufa kwa kasi? Hiyo ni moja ya impact.
 
US are printing more money papers and giving out to other nations as Bond so as to increase foreign currency reserve in order to be dominant.
But the reality in the meantime could create inflation bubbles and due to external conflicts with Russia and other Asian countries like China would weaken their reserve currency because many nations are looking for the alternatives.
Alternative for now is Yuan and could impact NEW WORLD ORDER.
 
Hamna kitu zaidi kuwa anataka kudhibiti currency exchange shops mfano wa magufuli alivyofanya, anahisi watu wanaficha pesa
Si kweli mkuu,unahitaji kupata knowledge zaidi.Inaelekea wewe si msaka taarifa,kwa kuwa huna knowledge kabisa ya current affairs.
Fuata link ifuatayo upanue mawazo mkuu.

 
O

Kwa hiyo Ruto ana-day dream.Sawa mkuu.Kiukweli huilewi Dunia kabisa.The Empire of Lies has zombified you.Sad.

Yani ruto hapo nairobi aotee dola $$$ inaanguka atahadharishe watu Inaingia akilini kweli?, kwa data gani?? Angalia GDP ya US kwanza ujifunze na uone sources za revenue hlf tathmini lini zitakoma kuzalisha. Yani dola ianze tu kuanguka 1% then 2%, 3%... 10% halafu dunia ya kwanza - the most successful nation inatazama tu kwa kuwa Ruto na Mathanzua wanaiombea ianguke???

Wishfull thinking mzee Mtahanzua, $$$ imesimamishwa kwenye mwamba! haitakaa ianguke hata Yesu anaporudi! Najua unajua hilo unajitoa ufahamu tu. Hamna pesa itakuja kuiangusha $$$ kwa at least miaka 100 ijayo!
 
Yours is what is wishful thinking.Mkuu it is obvious uimara wa US Dollar is on the decline,kwa kuwa demand yake ina-decline.Nations using alternative currencies as reserve currency and trade has huge repurcursions on its' value. Kwa mchumi hili liko wazi sana, wala halihitaji discussion.
 

Kudecline kwa 1-5% inatokea sana na inabounce back lakini nakuhakikishia haitadecline zaidi ya 5% hadi unamaliza maisha yako! Utaona inashuka na kupanda daily, just relax hamna maombi wala nguvu ya mchina itaishusha dola hadi ikose value kama unavyoombea kila siku. Repercusions za kibiashara ni lazima zitokee kama mabenk kadhaa yaliyofilisika majuzi ni outcome kupandisha interest rate kulikofanywa na wizara ya fedha. Lakini dola kuanguka sio leo wala kesho boss!
 
Huo ni mkwara tu ,Kenya kwa sasa ina experience huge dollar shortage crisis, yaani ni so serious hadi wanashindwa kununua vitu nje .
Shida yao kubwa ni kuwa hawana significant goods to export, na walikuwa wanategemea watalii ambao kwa sasa pattern imeshift.
Tanzania ndo utaipenda hapo !!tuna vitu tele vya ku export , huo mkaa tu hapo Ruvuma unaingiza full midola. Ukija geita hali kadhalika
 
Hamna kitu zaidi kuwa anataka kudhibiti currency exchange shops mfano wa magufuli alivyofanya, anahisi watu wanaficha pesa
Hana dola, na manunuzi ya vitu kama mafuta lazima uwe na dola
 
Benki kenya hazina dola na watu kwa kulijua hilo wanaficha kwa matumizi yao muhimu .
Huo ni mkwara ili wazitoe ziingie kwenye mzunguko,
 
Benki kenya hazina dola na watu kwa kulijua hilo wanaficha kwa matumizi yao muhimu .
Huo ni mkwara ili wazitoe ziingie kwenye mzunguko,
Hio ni sahihi kabisa Kenya inaenda Ku experience shortage of dollars like Malawi ambayo wakizembea watashindwa kuagiza fertilizer msimu ujao wa kilimo na hii italeya njaa Kali nchini kwao
La sivo waendelee kukopa Ili wapate dollars na waongeze export ndipo watakuwa stable
Tatizo watu wa Uhuru wanaficha inflow ya dollar sababu hawana uhakika na usalama wa biashara zao hivo ni lazima President Ruto akutane na Cha mtemakuni na ameshapanic ndio mana anasema hivyo
 

These international reports are missing the context.

Ruto was talking of dollar in the Kenyan context. We have signed a deal to buy oil in Shillings, which will relieve pressure on dollar reserves, which means the shilling is expected to gain value.
 
Broo bora hata umeweka sawa , watu wanadhani dollar kuanguka ni kitu rahisi , hawajui how complex dollar is wired to individual country economy.
Malawi na zimbabwe zilishawai experience dollar shortages, ni kipindi hicho mafuta kwenye petrol station yalikuwa ya mgao .
Nchi ikishaikosa dola si tu haiwezi kununua mbolea bali hata mafuta haiwezekani kununua ,
Bahati mbaya Kenya hawana chq maana ku export ili ku sustain mahitaji ya dola
 
Kinachozuia nchi zingine zisifanye hivyo ni nin?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…