pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Wewe ni naibu rais wa nchi gani? Kutoka kwenye biashara ya kuchuuza kuku kwenye stendi ya mabasi Eldoret hadi kwenye kiti cha naibu rais. Wewe unadhani kwanini huwa anaitwa Hustler? Hizo ni 'personal achievements' za Dr. William Samoei Kipchirchir Arap Ruto. Kwenye uongozi alikuwa 'best 'performer kama waziri wa kilimo na pia kwenye wizara ya masomo ya juu. Jamaa ana potential sana ila chorus ya uchaguzi wa 2022 imekuwa kilevi kwake.Hivi achievement ya Ruto ni nini?