Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #21
Kijana ametuliza kichwa chake.Waliokuwa na shaka nae nadhani shaka na wasiwasi vimeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana ametuliza kichwa chake.Waliokuwa na shaka nae nadhani shaka na wasiwasi vimeisha
Soyuncu ni kitasa haswa sema saiv cjui kalogwaAymeric laporte,Ruben dias,toby. Alderweireld Jan verntoghen,van dijk ,soyuncu Kuna kipindi waliwahi kukiwasha sana ila baada ya muda wakata moto kabisa ww mchezaji wako hajacheza game za champions league,hajacheza msimu mzima akamaliza ushaaza kumsifu eti moja kati ya mabeki Bora wa Dunia kuwa serious kidogo Kwa hizo mechi na Cardiff city na Norwich subir acheze mechi nying za kutosha ndio urudi apa kumpa promo huyo beki wako hafiki Ata nusu ya uwezo wa beki kamJese gimenez ,bado hujawataja kina Antonio Rudiger,bado hujamtaja Romeo wa spurs
Hakika mkuu, yule ndio angalau anafanya kazi ya Sol Campbell miaka ile. Hope hatutapata majeruhi na tutarudi tukiwa kamili.