elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Nimeshakisoma na makala zake nimekuwa nikizifuatilia.Ulishasoma kitabu hicho? Kama umekisoma sawa, lakini kama hujakisoma umejuaje hoja alizotoa zimeshaibuliwa na wengine? Au ni ule wivu wa maendeleo ya wengine?????
Anachofanya ni sawa kwakuwa wengi wamepata kusoma na kujua maana hizo sources alikotoa hizo habari watanzni wengi hawafuatilii.
Sina wivu naye ila ninachotaka kusema hizo hoja hajaziibua yeye alichofanya katuandikia hizo hoja kwa kiswahili na kuzikusanya toka sources mbali mbali.
Sasa kama kusema ukweli ni wivu basi sawa.
Narudia kusema sipingani na alichofanya ni kazi safi ila hizo hoja hajaziibua yeye unless kama ulikuwa siyo mfuatiliaji umeanza kwa kusoma tu kitabu chake.