Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
kwahiyo mkuu adidas na Nike walikuwa wanamsaidia messi kutandaza kandanda Jana...acheni masihara mjueNaam jamaa yuko sahihi kabisa. Messi na Cristiano Ronaldo ni media zinawapaisha tu, pia haya makampuni makubwa kama Adidas yanawatumia kuingiza pesa ndefu mno lakini hakuna kitu
Kwahiyo ww na akili zako hizo nzuri unataka kudai kuwa Messi ni bora kuliko Ronaldinho.???! Messi ndio anakipaji lakin hawezi mfikia Ronaldinho ata robo japo alikuwa mchezaji bora wa dunia kwa mara moja. Hizo tuzo wanazo pewa si kwama wao ni bora kuliko wengine tusiende bali hapa hapa bongo siku ukipata mda uje nikuonyeshe kuna vijana wanakuzwa jirani na ninapo ishi ata huyo Messi wenu anaweza funikwa. Aya kuna siku lipita kule Shinyanga nikakuta game ya kijiji aisee kuna wachezaji wazuri tu sema ndio hivyo hawaonekani. Kinacho wafanya Messi na Cristiano Ronaldo kuwa juu ni sababu ya media wanapaishwa tofauti na uwezo wao. Rudi nyuma kombe la dunia lililo pita Messi anakuwa mchezaji bora wa washindano hayo kwa lipi hasa??? Hapo ndio unaona nguvu za haya makampuni Adidas na Nike yapo kiushindani. Yanatoa pesa nyingi ili kuonyesha vifaa vyao ni bora.kwahiyo mkuu adidas na Nike walikuwa wanamsaidia messi kutandaza kandanda Jana...acheni masihara mjue
hahaaaaa mkuu kwakuwa nakupenda sana nakukuheshimu naomba mimi niishie hapa aiseee ....daaahhh ile umenichekesha mnooo daahh like seriously!??Kwahiyo ww na akili zako hizo nzuri unataka kudai kuwa Messi ni bora kuliko Ronaldinho.???! Messi ndio anakipaji lakin hawezi mfikia Ronaldinho ata robo japo alikuwa mchezaji bora wa dunia kwa mara moja. Hizo tuzo wanazo pewa si kwama wao ni bora kuliko wengine tusiende bali hapa hapa bongo siku ukipata mda uje nikuonyeshe kuna vijana wanakuzwa jirani na ninapo ishi ata huyo Messi wenu anaweza funikwa. Aya kuna siku lipita kule Shinyanga nikakuta game ya kijiji aisee kuna wachezaji wazuri tu sema ndio hivyo hawaonekani. Kinacho wafanya Messi na Cristiano Ronaldo kuwa juu ni sababu ya media wanapaishwa tofauti na uwezo wao. Rudi nyuma kombe la dunia lililo pita Messi anakuwa mchezaji bora wa washindano hayo kwa lipi hasa??? Hapo ndio unaona nguvu za haya makampuni Adidas na Nike yapo kiushindani. Yanatoa pesa nyingi ili kuonyesha vifaa vyao ni bora.
hahaaaaa mkuu kwakuwa nakupenda sana nakukuheshimu naomba mimi niishie hapa aiseee ....daaahhh ile umenichekesha mnooo daahh like seriously!??
haya boss ...asante kwa kunipa fursaa...nitakuja Mungu ajaalieHahahaa mi pia nakupenda mkuu, tafuta mda uje nikuonyeshe hawa vijana wanavyosakata kabumbu. Uje ununue na hisa kabisa maana mwaka kesho tunatafuta usajili.
haya boss ...asante kwa kunipa fursaa...nitakuja Mungu ajaalie
Mkuu kama Nakufahamu [emoji12] [emoji12] [emoji12] , DAKARNaam jamaa yuko sahihi kabisa. Messi na Cristiano Ronaldo ni media zinawapaisha tu, pia haya makampuni makubwa kama Adidas yanawatumia kuingiza pesa ndefu mno lakini hakuna kitu
Mkuu kama Nakufahamu [emoji12] [emoji12] [emoji12] , DAKAR
[emoji817][emoji817][emoji817]Hapana sio mm
For entertaiment football, ronaldinho ni mzuri sana zaidi ya messi. So mimi nakubariana nae. Ila messi ni mzuri katika kutafuta ushindi.
magoli ya tobo huleta kichefu chefu,ale ndimu
inashangaza sana aisee...kusema adiddas ndio walisababisha jana kipa wa chelsea awe anapigwa matobo na messi!! watu wanajua sana kusingiziakwahiyo mkuu adidas na Nike walikuwa wanamsaidia messi kutandaza kandanda Jana...acheni masihara mjue
inashangaza sana aisee...kusema adiddas ndio walisababisha jana kipa wa chelsea awe anapigwa matobo na messi!! watu wanajua sana kusingizia