Kwahiyo ww na akili zako hizo nzuri unataka kudai kuwa Messi ni bora kuliko Ronaldinho.???! Messi ndio anakipaji lakin hawezi mfikia Ronaldinho ata robo japo alikuwa mchezaji bora wa dunia kwa mara moja. Hizo tuzo wanazo pewa si kwama wao ni bora kuliko wengine tusiende bali hapa hapa bongo siku ukipata mda uje nikuonyeshe kuna vijana wanakuzwa jirani na ninapo ishi ata huyo Messi wenu anaweza funikwa. Aya kuna siku lipita kule Shinyanga nikakuta game ya kijiji aisee kuna wachezaji wazuri tu sema ndio hivyo hawaonekani. Kinacho wafanya Messi na Cristiano Ronaldo kuwa juu ni sababu ya media wanapaishwa tofauti na uwezo wao. Rudi nyuma kombe la dunia lililo pita Messi anakuwa mchezaji bora wa washindano hayo kwa lipi hasa??? Hapo ndio unaona nguvu za haya makampuni Adidas na Nike yapo kiushindani. Yanatoa pesa nyingi ili kuonyesha vifaa vyao ni bora.