Willian anasema Ronaldinho ni kiboko kuliko Messi, unakubaliana nae?

Mbrazili mwenzie huyo lazima ampambe pumbaffu kabisa. Ndio màana kanasura ya kike. Kazi kuponda wanaume....
Jamaa kaongea kweli..2010 messi hakustahiki..hata 2014..had mwenyewe alishangaa..wengi tulishangaa
 
ukienda kuangalia clip zao you tube utajua nani ni bora zaidi

Bora wasiangalie ndio watazidi kupunguza umri wao wa kuishi. Maana Messi sio wa sayari hii gaucho mwenyewe analijua hilo. Yani mchezaji wa miaka miwili sijui mitatu aliyeshuka kiwango umlinganishe na mchezaji bora kwa miaka 10 mfululizo? Na huu umeingia wa 11 and soon anakabidhiwa ballon ya 6 na uchezaji bora mara 6!!!! Halaf alinganishwe na vitakataka ama vitu vya kijinga!!!!! Ni ujinga ulio dhahiri kabisa kumfananisha Messi na Gaucho...ni sawasawa na umwambie mtu achaguwe gari ipi yenye ubora wa hali juu kati ya BMW na KIA???
 
Kuna mmoja amecheza kipindi mabeki kina Cadu, Nesta, Maldin, Cannavaro, Carlos, Vidic, Puyol n.k na bado akatamba.. Na mwingine amecheza kipindi mabeki kina Johan Djorou, Per Metasacker, Chris Smalling, Daley Blind, David Alaba, Gary Cahil n.k na bado akatamba.

Sasa akili kumkichwa hapo.
 
Unapoongea jina la ronaldhino unaongelea masihi wa mpira aliyetumwa kuja kuienzi na kuwakilisha wanisoka wote duniani ,unabii umentimia ronaldhino ni masihi ni alpha na omega wa mpira duniani ,hatakuja kutokea kama yeye kamwe
 
Kila mtu na mtazamo wake namm naweza kusema Zamoyoni Mogela alikuwa bora kuliko Messi
 
We mwehu kweli..gaucho unamlinganisha na mtu asie na technic zaid ya quick turns na speed?
NDIO Umeandika nini? Hebu soma tena.......... QUICK TURN AND SPEED ni sehemu ya techniques. Plus Messi ana Uwezo wa Kutengeneza Magoli na Kufunga, pia Kwa maneno ya Leo ferdinand Messi haruhusu beki kugusa Mpira wala Mguu wake...
 
Williandada angekua na akili angemuuliza mbrazili mwenzie....pumbafu kabisa...Gaucho mwenyewe anajuwa kabisa Messi ni bora zaidi yake.
 
NDIO Umeandika nini? Hebu soma tena.......... QUICK TURN AND SPEED ni sehemu ya techniques. Plus Messi ana Uwezo wa Kutengeneza Magoli na Kufunga, pia Kwa maneno ya Leo ferdinand Messi haruhusu beki kugusa Mpira wala Mguu wake...

Umeongea point kamanda...big up sana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…