Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kaongea kweli..2010 messi hakustahiki..hata 2014..had mwenyewe alishangaa..wengi tulishangaaMbrazili mwenzie huyo lazima ampambe pumbaffu kabisa. Ndio màana kanasura ya kike. Kazi kuponda wanaume....
We mwehu kweli..gaucho unamlinganisha na mtu asie na technic zaid ya quick turns na speed?Gaucho hajafikia uwezo wa Messi hata kidogo. Dogo analeta utaifa wake hapa...wabrazili waninafsi sana.
We mwehu kweli..gaucho unamlinganisha na mtu asie na technic zaid ya quick turns na speed?
kwakweli sidhani kama alishawah fanyiwa kitu km hcho na mchezaj mwngne yoteHatomsahau the king Messi...kadhalilishwa mno tobo mbili sio mchezo. I think haikuwai kutokea
ukienda kuangalia clip zao you tube utajua nani ni bora zaidi
kwakweli sidhani kama alishawah fanyiwa kitu km hcho na mchezaj mwngne yote
NDIO Umeandika nini? Hebu soma tena.......... QUICK TURN AND SPEED ni sehemu ya techniques. Plus Messi ana Uwezo wa Kutengeneza Magoli na Kufunga, pia Kwa maneno ya Leo ferdinand Messi haruhusu beki kugusa Mpira wala Mguu wake...We mwehu kweli..gaucho unamlinganisha na mtu asie na technic zaid ya quick turns na speed?
NDIO Umeandika nini? Hebu soma tena.......... QUICK TURN AND SPEED ni sehemu ya techniques. Plus Messi ana Uwezo wa Kutengeneza Magoli na Kufunga, pia Kwa maneno ya Leo ferdinand Messi haruhusu beki kugusa Mpira wala Mguu wake...
NDIO Umeandika nini? Hebu soma tena.......... QUICK TURN AND SPEED ni sehemu ya techniques. Plus Messi ana Uwezo wangolo kante kanifyatulia si chini ya mara moja juzi,usimsikilize ferdinand..mteja yule..nenda you tibe kamwangalie lassana diara alichomfanya messi,messi chengs hawezi,anakimbia akiwa kaficha mpira na kasi yake inamsaidia