inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
ngoja nikuache..akina dada wa la liga mnaongea sanaNDIO Umeandika nini? Hebu soma tena.......... QUICK TURN AND SPEED ni sehemu ya techniques. Plus Messi ana Uwezo wa Kutengeneza Magoli na Kufunga, pia Kwa maneno ya Leo ferdinand Messi haruhusu beki kugusa Mpira wala Mguu wake...
[emoji116]Naam jamaa yuko sahihi kabisa. Messi na Cristiano Ronaldo ni media zinawapaisha tu, pia haya makampuni makubwa kama Adidas yanawatumia kuingiza pesa ndefu mno lakini hakuna kitu
[emoji116]View attachment 727590
Mbona mess mpira wake hauvutii kabisa hauna ladha kama wa nabii dinho mess anachenga moja tu hamna cha zaid