Willian anasema Ronaldinho ni kiboko kuliko Messi, unakubaliana nae?

Willian anasema Ronaldinho ni kiboko kuliko Messi, unakubaliana nae?

NDIO Umeandika nini? Hebu soma tena.......... QUICK TURN AND SPEED ni sehemu ya techniques. Plus Messi ana Uwezo wa Kutengeneza Magoli na Kufunga, pia Kwa maneno ya Leo ferdinand Messi haruhusu beki kugusa Mpira wala Mguu wake...
ngoja nikuache..akina dada wa la liga mnaongea sana
 
Acheni kumfananisha gaucho na mbilikimo ni zambi kubwa....gaucho hafananishwi na yeyote na chochote katika soka yeye yupo juu ya kila mtu,

Na nikimkuta mtu anamuongelea vibaya na kumfananisha na ushuzi ushuzi mwingine katika soka nitakuwa tayari kupata ban kwa ajili yake.....hilo ni onyo
 
Mwenyewe kasema sasa
Screenshot_20180328-132950.jpg
 
Mbona mess mpira wake hauvutii kabisa hauna ladha kama wa nabii dinho mess anachenga moja tu hamna cha zaid
 
Back
Top Bottom