Willy Onana wa Simba SC

Simba hata wakifungwa na kitu kizito mkononi kila mchezaji lazima waifunge coastal union...
We tangu uzaliwe lini uliona coastal kamfunga Simba?
Lile Goli la onana huoni mabeki walikua wanamkwepa Tu wenyewe ili jamaa afunge..
Onana kitu pekee cha kujivunia ni kutoboa masikio na kuvaa hereni kama Zuchu
 
👎👎👎
 
Hapana. Hebu mfuatilie vizuri ukiachana na jana kutuepusha na aibu ya kupoteza second consecutive game. Rejea rekodi zake, ni mchezaji mzuri sana.
Vipi sasa zile spana alizokuwa anatupiwa kipindi kile kuwa mvivu sana na anapoteza mipira sana pia mlaini sana kama zuchu?

Usije kumkataa baadaye akicheza na mbangula .
 
Napigia mstari.

Halafu eti baada ya kulwa (simba) kupata goli la 2ndiyo sasa doto (coastal) eti ndiyo anajifanya kuchacharuka sasa apindue meza.

Vilikuwa nj vichekesho tu pale vya ndugu wawili
 
Kama uliangalia mpira,utaona kuwa wadhamini wa coastal ambao ni gsm walitoa donge nono kama jamaa wangeambulia hata draw..ila kama uliskiza tu mpira unaweza sema walikuwa wanacheza kulwa na doto
Wadhamini wanahusika nini kipindi mnafungwa [emoji2772] mlidhaminiwa na nani majitu mazima kujiliza liza kila siku
 
Huyu anajua soka ila bishoo mnoo, anaridhika mapema, jana kafunga goli akaona mdio kamaliza, hata zile kashikashi za kufosi zikaisha, akawa anapoza mpira, back pasi nyingi.. A aonekana ni MVIMBA KICHWA sasa kwa mashabiki wa bongo wanavyojua kumpamba mtu, namuona atapotea la sivyo abadilike.
 
Uzi ufungwe hapa.
 
Mzee ukifanikiwa kuumiliki mchezo u atakiwa kupooza mchezo,ndio yakikuwa maelekezo ya mwalimu,sa ukitaka acheze mbeke pake ake akati wenzie wanacheza kweny eneo lao.Au mpira uliutazama wasafi fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…