makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mie nawe hatuna uhakika alipewa maelezo gani na kocha.Mzee ukifanikiwa kuumiliki mchezo u atakiwa kupooza mchezo,ndio yakikuwa maelekezo ya mwalimu,sa ukitaka acheze mbeke pake ake akati wenzie wanacheza kweny eneo lao.Au mpira uliutazama wasafi fm
Hata kama aliambiwa apoze mchezo, kupoza mchezo haimaanishi ikitokea nafasi ya kushambulia usishambulie.