Uchaguzi 2020 Wilson Mahera: Kuna Viongozi wa Vyama vya siasa ambao wamejipanga kuharibu Taswira ya Uchaguzi Mkuu 2020

Katika Ilani ya uchaguzi ya CCM inayonadiwa wakati huu Katiba mpya siyo kipaumbele chake. Ata CDM na ACT wote Katiba mpya siyo kipaumbele chao.
Wanawakomoa nani?! Bila shaka nchi. Na history itawahukumu lazima.
 
Yani mkuu hawa jamaa wanachokitafuta watakipata mwaka huu hatutaki ujinga tutawanyoosha.
Hizi kura feki walizotengeneza zitawatokea puani
 
Hawa jamaa acha walete jjinga huku mtaani tuanishi na watoto na wazazi wao huku mtaani huu mwaka tutagawana mbao acha waendelee muleta ujinga tu
 
Huku wakiwa wamewaengua mamia ya wagombea wa upinzani na kuwapitisha mamia ya Ccm bila kupingwa!! Mbaya zaidi wakiwa wanafanya figisu za kutowaapisha mawakala wa Chadema.

Anatuona watanzania wajinga sana huyu mzee , sasa tutamuonesha wiki ijayo!!

Huyu Magufuli anafikiri Watz wote Ni wajinga, wapuuzi na hawajui chochote kinachoendelea....!!!

Haiwezekani kwa Hali yoyote ile kwamba CCM iwe na Wagombea ambao ni ANGELS, they never do mistakes during filling of their application forms or during their campaign activities. Never!

Hakuna kitu Kama hicho DUNIANI.

Kwamba hakuna hata mgombea 1 wa CCM hata awe wa Udiwani, Ubunge wala Urais.
Makosa yote ni kwa Wapinzani tu maana wao ndio hawakwenda shule! Ule msemo wa Kumwaga Mboga sisi tunamwaga Ugali ni hapo 28 Okt, 2020!
 
Yeye aje na ushahidi basi, kila kituo kina wapiga kura wangapi na idadi hiyo ikizidishwa kila mkoa inalingana na idadi na daftari la wapiga kura? Mahesabu huwa hayapikwi cause ukiyapika yatakuumbua tu. Ndo maana kura zinahitajika kwa vyovyote vile ili utoe hesabu ya uhakika.
 


Hii sheria inakuhusu!
 
Acha uzushi weka ushahidi wa uharamia wao ili tukujue kwamba wewe siyo mnafiki, mpayukaji, mchumia tumbo, hopeless. Let's ushahidi.
Arguing with a fool shows that there are two.. so, I'll abstain
 
View attachment 1610019

Hii sheria inakuhusu!

Kosa langu ni kuuliza Kwanini WALIOENGULIWA NI WAPINZANI TU? NIAMBIE JIMBO GANI AU KATA GANI AMBAKO KUNA MGOMBEA WA CCM KAENGULIWA?

No research no right to speak!

Kampeni zote Mwanzo mwisho walopatikana ATI NA MAKOSA NA KUSIMAMISHWA NI WAGOMBEA WA UPINZANI TU!

Kama unafikiri makosa ya JINAI NI KWA AJILI YA WAPINZANI umedanganyika!!! One day you gonna pay the price! What comes around goes around!!!
 
Bring the evidence. Hiyo sheria inajieleza vizuri tu, tuache majungu na upotoshaji.
 
Hawataamini upepo utakapobadilika! Wanajiamini sana hawa watu, wanafikiri kila siku ni jumapili, keshokutwa siyo yao yani
Mahera ameshitukiwa hana hamu na mitandao !
Wamejitahidi kujitekenya wenyewe halafu wanacheka, unatengeneza wall ya uongo unajichatisha na kujijibu mwenyewe, unascreenshot unatuma mitandaoni kuonesha umeweza "kuhack" mawasiliano ya wapinzani kumbe maveeeee, mahera na lile para lake bichwa kubwa kumbe ndani lina ugali
 
Wasitafute mchawi, wachawi ni wao. Wameshindwa kutenda haki. Wao ndiyo wanaochafua mchakato wote wa uchaguzi.
 
Numbers do not lie. NEC and Mahera are cheating.
 
mbona chadema hawajatutajia majina ya vituo hewa hivyo na mahali vilipo ili tukaviangalie tujakikishe kabisa ?
 
Je amewachukulia hatua wakurugenzi wake waliokiuka taratibu zinazopelekea uvunjifu wa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…