Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Wanawakomoa nani?! Bila shaka nchi. Na history itawahukumu lazima.Katika Ilani ya uchaguzi ya CCM inayonadiwa wakati huu Katiba mpya siyo kipaumbele chake. Ata CDM na ACT wote Katiba mpya siyo kipaumbele chao.