Uchaguzi 2020 Wilson Mahera: Kuna Viongozi wa Vyama vya siasa ambao wamejipanga kuharibu Taswira ya Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Wilson Mahera: Kuna Viongozi wa Vyama vya siasa ambao wamejipanga kuharibu Taswira ya Uchaguzi Mkuu 2020

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
View attachment 1609827View attachment 1609828View attachment 1609829View attachment 1609830
Tume ya safari hii ina maajabu! Eti "Tume imefanikiwa kunasa mojawapo ya mawasiliano". Hivi tume imegeuka kuwa chombo cha ulinzi na usalama, kufuatilia na kunasa mawasiliano ya watu? Hii ni mojawapo ya majukumu yake? Halafu utarajie weledi wa kusimamia uchaguzi hapo?
 
Waliongeliwa maana yake walikosa sifa za kisheria katika kuteuliwa up

Umeshambiwa wapinzani wa bongo ni magumashi bado wee inaendelea kuwamini itakula kwako amka nakuona uko usingizini. Kama viongozi wakubwa wachama wanashindwa kuelewana Sasa we unashanga hao wadogo kukosea taratibu za kisheria. CCM chama kubwa wanataratibu za kusimamiana na kuelekezana kwa kila hatua. Mfano tuliona kwenye ujazaji wa form Yani ulikuwa utopolo mtupu utafikiri chama hakina viongozi wa kuwasimamia viongozi wao.

Hata CCM huwa hawaelewani.
Mf, Membe na Magufuli
 
Bring the evidence. Hiyo sheria inajieleza vizuri tu, tuache majungu na upotoshaji.
ACHA UJINGA JIBU SWALI
HATA BBC SWAHILI waliuliza kwanini wagombea wa CCM hawakuenguliwa kuanzia Diwani mpaka Mbunge miaka yote hayo hayakuwepo

ww unatueletea Sheria, mbona DRC, Kenya, Malawi, Zambia, Nigeria na kwingineko Sheria zipo
1603556371977.png
 
1603552705865.png

Hiyo Video inayosambaa mitandaoni sio ya mwaka huu wa 2020 ni ya 2015
Watanzania tunatahadharishana kuwa hayo masanduku ni mali ya Tume mwaka 2015 kulifanyika mxhezo wa kuhamisha mahindi.
Kwa nini Mahera hataki tujifunze mbinu za wizi, hata iwe Tanzania au MalawiUchaguzi acheni uwe wa huru, kura zote zihesabiwe kituoni majibu yatoke saa hiyo hiyo
1603556878665.png

kweli Mahera unasaini karatasi lenye jina la mtanzania atakayezaliwa 2039 siku ya sabasaba?
 
Mahera usiwe na wasiwasi uchaguzi huu utapita kwa amani kabisa. Wenye kushindwa watashindwa, na wenye kushinda watashindwa, bila kusahau wale watakaorudi walikotoka.

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema

CCM
- Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuu👍

CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu😍
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii😍😍

CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe Magufuli😁👍

CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. Tutashinda🤔👎

CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania😍🍹🍸💃👍

CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaa😆👎

CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwanda👍

CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watu👎

CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watu👍

CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watu🤣👎👎

WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda Magufuli😍🇹🇿😍👍👍👍👍

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema
 
..mambo kama haya yanayofanywa na watendaji wa tume ndiyo yanaharibu taswira ya tume.

Mahera is there to serve incumbent president interest and not to ensure the presence of free and fair election, no any army can prevent the wave of revolution we want to turn power to the people.
Wala hatuna haja ya kumtafuta mchawi,tunajiloga kwa malipo ya kodi zetu wenyewe,wenye nafasi ya kulitumikia taifa kwa usawa wanaingiza maslahi binafsi.Na kufanya upebdeleo.
 
Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema

CCM
- Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuu👍

CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu😍
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii😍😍

CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe Magufuli😁👍

CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. Tutashinda🤔👎

CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania😍🍹🍸💃👍

CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaa😆👎

CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwanda👍

CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watu👎

CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watu👍

CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watu🤣👎👎

WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda Magufuli😍🇹🇿😍👍👍👍👍

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema
Motives za kikundi cha chadema si kuhudumia wa Tanzania kama wanavyojinasibu,motive yako kuu ni kuingia ikulu ili wajishibishe. Hili utaligundua ukitafakari like swala la kumruhusu Lowassa kuwa mgombea wao 2015,ilihali walikuwa mstari wa mbele kumtaja Lowassa kama fisadi aliekubuhu. Kwa wakati ule walichokiwaza ni pesa na mtaji wa watu aliokuwa nao Lowassa alivyotoka CCM, wala hawakuthubutu kumtaja kama fisadi tena.

Hata sasa hicho kikundi hakitabadilika, na motive yao kuu bado ni kujishibisha. Huwezi kumuweka Lissu katika nafasi kubwa Kama ile, hana maono yoyote yanayoweza kutupeleka sehemu nzuri kutoka hapa tulipo. Nikisikiliza hotuba zake na sera zake,kinywa chake kinachotamka uchochezi kila anapokifungua, ninamuona gaidi na dikteta mkubwa atakae sumbua kuliko hata huyu mnaemuita dikteta kwa kusimamia vitu ipasavyo na kuzikataa janjajanja zenu.
 
Back
Top Bottom