Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

kama anaona kuwa mkia wa mwenzake ndio demokrasia na awe mkia.
 
Unamkumbuka msindai rafiki mkubwa wa lowasa. Kwasasa yupo wapi na alikua na cheo gani ndani ya CCM
 
Ndio uzuri wa kuwa na vyama imara vya upinzani. The fear of retribution is now gone.. Hakuna kutishana tena na mambo ya chama kushika hatamu, sijui mwenyekiti hakosei, n.k. Wakileta za kuleta unasepa tu na kwenda upande mwingine kisha mnakutana jimboni. I really like that....
 
Wewe toyoyo unajua maana ya kuyumba?!Hayo mabomu na washawasha yalianza kuingizwa na Lyatonga Mrema tangu 1990s wakati akiwa bado Waziri wa CCM. Tena heri 1995 Lyatonga alisumbua siyo Eddo aliyepigiwa kura na wana Moshi- Arusha tu!!
Do some research Mkuu before you start talking BS. Moshi na Arusha kulikuwa na wapiga kura milioni 6 na usheee???
 
Kwanza nikwambie Kuwa hata Nkambaku akienda CDM hawezi shinda kwa mgongo wa LISU. Lisu naye safari hii hawezi shinda. DC MTATURU amewekwa pale aimed baada ya kuwasambaratisha Mwanza. Wilaya ya Hiyo ndiyo kazaliwa Mtaturu anayejipanga 2020.

Kinachoweza kumharatibu Nkambaku ni Kama ataamua kuja CDM, ijapo kwa Watu wa Mbeya wanasema uchaguzi unaondelea huko wamevurunda sana na RC wa LINDI ambapo uteuzi haukulenga Watu wenye sifa, Bali Watu ambao Zambi a naona what amsaidia yeye au Watu ataksopenda wagombee 2020. Hii naambiwa Nkambaku aliingizwa king
 
Na wengine wake tu. Sisi tulikuja na tumeshakomaa. Tulistuka mapema. Wachaga wanasema "Ngastuka Meku""
 
Hapo na.1.Umekosea, Nyalandu kamaliza kitambo sana, hat a hawakukutana pale ilboru!
 
Tumeshaandika barua ya kumfukuza tangu juzi,aende kwa mwenyekiti wake ataikuta,

mwenyekiti wa bodi
 
Umemsifia sana kama ni kijana msafi yaani hana doa! Kwa hiyo kama angepewa wizara ya Mali asili na utalii; wale Twiga, Kima na Ngedere wasingepanda ndege kimagumashi!?. Kama ilivyofanywa na kakaake kipenzi?
 
Ni aibu kwa mwanaume kujichekesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…