FIKIRA ZA UKABILA HAZIWEZI KUTUPELEKA POPOTE.. SI VYEMA KUFANYA SENSITIZATION YA UKABILA KWA MASUALA YA SIASA AMBAYO NI ZA KITAIFA.Wameiga ya wasukuma wa uzalendo academia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FIKIRA ZA UKABILA HAZIWEZI KUTUPELEKA POPOTE.. SI VYEMA KUFANYA SENSITIZATION YA UKABILA KWA MASUALA YA SIASA AMBAYO NI ZA KITAIFA.Wameiga ya wasukuma wa uzalendo academia.
Wanyiramba wamesoma, hawawezi kufanya maamuzi kwa vile mtu filani kafanya vile. Ni tafauti na wanyaturu ambao wanafahamiana karibu wote.singida imenjanjaruka..wanyaturu wameamua..wabaki wale wanafiki wanyiramba.
Acha ukabilaHata Mkoa mzima tu wa Singida (1 300 000) watu wake wanazidiwa kwa mbali na Mkoa mmoja tu wa kisukuma wa Simiyu (1 500 000), hapo hujaweka Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita. Achilia mbali wasukuma waliojazana Tabora na Rukwa.
Correction...
Nimesoma darasa moja na Wilson Elisha Nkhambaku Ilboru na kumaliza wote 1996...Wilson hajawahi kuwa member wala kiongozi wa UKWATA, yeye alikuwa ni mwana-CASFETA(Umoja wa Wanafunzi wa Madhehebu ya Kipentekoste).
Pia Lazaro alikuwa ni Rais wa UKWATA Tanzania, siyo tawi la Ilboru tu.Lazaro ni Mlutheri, Wilson ni Mpentecostal
Mengine inaweza kuwa uko sahihi kiasi, not 100%.
Provided yuko CCM ni wazi atakuwa hana uadilifu wowote, LAKINI akitangaza tu kujiunga CDM tayari atakuwa amepata utakaso. UJUHA WA AJABU.Asante mkuu Ki Mun vipi kuhusu busara, hekima, uadilifu wake mkiwa shuleni? Kwa maana kuhusu up stairs sina mashaka, wazee wa Ilboru nawaheshimu sana. Hata niliposikia kuhusu Lazaro kuomba kujiunga CDM sikushangaa maana ndipo walipo wenzake kwa asilimia kubwa.
Nimetamani kumjua katika nyanja hizo ili niendelee kupata amani na aina ya watu wanaojiunga CDM. asante.
This is JF RUBBISH. Jamani tumechoka na uzwauzwa wenuAnaitwa Wilson Nkambaku, Kwa sasa ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya aliyepangiwa kazi mwaka huu. Alikua mkuu wa wilaya awamu ya nne katika wilaya za Meatu na Arumeru kabla ya kurithiwa na Alexander Mnyeti.
Kwanini anaondoka?
1.Ikumbukwe huyu kijana wa Kinyaturu ndiye aliyerithi mikoba ya Nyalandu kwenye kiti Urais wa UKWATA pale Iiboru Sekondari miaka ya nyuma baada ya kumaliza muda wake.
2. Exposure zake zote nje ya nchi ni sawa na za Mh Nyalandu, alifanikiwa haya yote kupitia kwa kaka yake huyu ambaye ameondoka CCM na kwenda CHADEMA.
3.Alishinda nafasi ya Ubunge kwenye kura za maoni CCM 2010 jimbo la Singida Magharibi, lakini akadhulumiwa kwa fitna na hongo za CCM,alihamia CHADEMA ili kufanikisha mipango yake ambapo aliaminiwa na wananchi wakaahidi kumchagua kwa kura zote lakini baadae aliyekua Rais wakati huo alitumia nguvu nyingi kwa kumtumia Mh Nyalandu kumshawishi asihamie CHADEMA ili jimbo la Singida Magharibi lisiende na maji,ailirudi CCM kwa kushawishiwa na Nyalandu na baadae kupewa ukuu wa Wilaya.
4.Ndiye rafiki mkubwa sana pengine kuliko hata marafiki wengine wa Nyalandu hapa nchini.
5.Hawezi kuiona future yake ya kisiasa kwenye hii CCM iliyojaa visasi iliwa kaka yake ameondoka CCM.
5. Ni kijana mwaminifu na mlokole asiyekua na doa hata kidogo, features zake ni sawa na za Nyalandu.
6. 2020 kijana wa Kinyiramba Elibariki Kingu ajiandae mapema tu kuachia jimbo la watu.Itakua ni Combination ya Tundulu LISSU+Nyalandu kumnadi Nkambaku.
Je,mnafikiri Nyalandu yuko peke yake?
Kuna mengina ndani ya kapu, Lakini kuna tetesi kua Mh Nyalandu ana Marafiki zake Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa sasa wa wilaya na mikoa wasiopungua 100 ambao ndio walikua wapambe zake kwenye kusaka sahihi za kukamilisha mipango ya kugombea Urais 2015 ambao watamfuata muda si mrefu.
CCM nawaasa kaeni mtulie tuu, msianze kuchafua watu wanapoonfoka chamani. Watafteni na hawa 100 kabla hawajaondoka.
Ya kikabila zaidi?Aisee. Kama huyo kijana atarudi jimboni mi ntampa kura, he's so intelligent. Kingu Hana chake Na naiona Singida ikiwa Kama Arusha
How mkuu. Fafanua kidogoYa kikabila zaidi?
Willy is SMART of course, huwezi kuwa rafiki wa Lazaro kama kichwa chako hakifanyi kazi sawasawa na huna uwezo wa kufikiri haraka, atakuacha umesimama barabarani...ukiwa na akili hakuachi, ndo maana nafikiri anaukubali mno uwezo wa kufikiri wa Lissu, Mbowe na vijana wengine wa Chadema!Asante mkuu Ki Mun vipi kuhusu busara, hekima, uadilifu wake mkiwa shuleni? Kwa maana kuhusu up stairs sina mashaka, wazee wa Ilboru nawaheshimu sana. Hata niliposikia kuhusu Lazaro kuomba kujiunga CDM sikushangaa maana ndipo walipo wenzake kwa asilimia kubwa.
Nimetamani kumjua katika nyanja hizo ili niendelee kupata amani na aina ya watu wanaojiunga CDM. asante.
Social policy and planning at masters levelulimfundisha sheria?siasa? au nn mkuu
vzurSocial policy and planning at masters level