Wakuu salama?
Kitambo sijapost hapa ila nimeona leo tuangalie upande wa pili wa shilingi; tuna idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi tena ambao wapo kwenye ajira iliyo rasmi lakini wakati huo huo wanafanya ujasiriamali mdogomdogo.
Sioni tatizo kufanya biashara ila shida inakuja pale ambapo inafikia hadi kutaka kuharibu kazi yako, kazi za mwajiri zimebaki kufanyika bila ubunifu wowote, wasomi wamekua brainwashed wao ni mitandanaoni tu kuwaangalia mastaa wana jambo gani.
Hili jambo linnaifikirisha sana kwanini wasomi wetu wenye kazi rasmi hawatumii maarifa yao ndani ya hizo field zao kujiongeza?