GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Wanatengeneza pesa!!. Tukio la kuanza kwa SGR_TZ tena ya umeme kwa ukanda huu ni milestone ambayo inavuta hisia za wapenda maendeleo Dunia nzima.... Content creators wote hasa wakenya wanaiona fursa ya kuwa na viewers wengi na hivyo kupata malipo kwa maudhui yanayorushwa....Content creators toka Kenya na Uganda wanamiminika Dar kwa siku za karibuni na wote wanaishia kutembelea mradi wa SGR.
Kuna nini huko SGR wajemeni. Maana sio kwa spidi hiyo.
Anyways karibuni sana 🇹🇿.