Wimbi la content creators toka Kenya na Uganda kutembelea Dar na Hasa mradi wa SGR kuna nini?

Content creators toka Kenya na Uganda wanamiminika Dar kwa siku za karibuni na wote wanaishia kutembelea mradi wa SGR.

Kuna nini huko SGR wajemeni. Maana sio kwa spidi hiyo.

Anyways karibuni sana ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
Wanatengeneza pesa!!. Tukio la kuanza kwa SGR_TZ tena ya umeme kwa ukanda huu ni milestone ambayo inavuta hisia za wapenda maendeleo Dunia nzima.... Content creators wote hasa wakenya wanaiona fursa ya kuwa na viewers wengi na hivyo kupata malipo kwa maudhui yanayorushwa....
 
Fursa kwao na kwetu pia.
 
Kwenye hili bado usafi na viwango vya daladala ni vidogo mno vinaharibu taswira ya jiji
Itafikia mahali dalai dalai hazitakuwepo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ