Habari zenu wadau?
Nije kwenye mada? Humu jf Naona kuna watu wameibuka wana hela kubwa kubwa wanataka ushauri wa kufanya biashara!.
Mi naomba kujua mbona wanazidi tu kulikoni mara leo huyu ana million 150 mara 200 hujakaa sawa mwingine 750 asee!
Mi ninashangaa sana maana kila ukipita huko unakutana nao! Basi na sisi naomba mtuambie na sisi tupate hizo hela nzito nzito! Natumaini sijamkela mtu ni mawazo yangu tu
Nawasilisha 🙏
Okey nimekupata mzeeInategemeana na mtu ila mimi nilipoomba ushauri hasa kwenye kununua Bond na fixed deposit nikwa sbsb nilikuwa nimepta nssf yangu kwa kuchangia miezi 190 na kibarua changu cha ngo kikawa kiemisha na kazi zikawa hazipo mwakahuu..hivyo nikapewa kitu kinaitwa deffered benefits..kama million 120. Kwa kuwa kwenye ngos unakuwa busy sana nasikuwahi kuinvest biashara kubwakubwa ndo nikaomba ushauri wapi pakuwepa ili nipate kipato wakati natafuta fursa mpya yakuwekekza bila harakaharaka
Naanza doria[emoji1732][emoji1732][emoji1732]Wapo ndani ya jf humu mzee!! We pita pita utakutana nao siku moja
Nna shida na wewe..Yes dear
Yes dear ninayoNna shida na wewe..
ile namba bado unayo?
tulonge basi mpenziYes dear ninayo
Poa mahtulonge basi mpenzi
Pole.. Samahani.Da matusi tena mkuu mi ni me mzee
Humu kila mtu tajiri so be careful huyo mwenye million 700 ukute hata million moja hajawahi kushika, wenye hela ndefu wanajua au wanabiashara tayari, huwezi kuwa na hyo hela hujua chakufanya huo uwendawazimu na ndoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine wanatupeleka Geneva tu.
Ongeza wa nne, na piaKwahiyo nikuongeze kwa list tutakuwa wa3 sasa
Sawa mkuu nimekuongezaOngeza wa nne, na pia
Mimi wa tano..Sawa mkuu nimekuongeza
No 1 ni mimi aiseee yaani humu wote matajiri jamaniMimi wa tano..
Tena ilitakiwa nishike #1[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]No 1 ni mimi aiseee yaani humu wote matajiri jamani
Kaa hapo kwa no 5