Wimbi la kuibuka watu JF wenye mitaji mikubwa kulikoni wenzetu?

Wimbi la kuibuka watu JF wenye mitaji mikubwa kulikoni wenzetu?

Inategemeana na mtu ila mimi nilipoomba ushauri hasa kwenye kununua Bond na fixed deposit nikwa sbsb nilikuwa nimepta nssf yangu kwa kuchangia miezi 190 na kibarua changu cha ngo kikawa kiemisha na kazi zikawa hazipo mwakahuu..hivyo nikapewa kitu kinaitwa deffered benefits..kama million 120. Kwa kuwa kwenye ngos unakuwa busy sana nasikuwahi kuinvest biashara kubwakubwa ndo nikaomba ushauri wapi pakuwepa ili nipate kipato wakati natafuta fursa mpya yakuwekekza bila harakaharaka

Habari zenu wadau?

Nije kwenye mada? Humu jf Naona kuna watu wameibuka wana hela kubwa kubwa wanataka ushauri wa kufanya biashara!.

Mi naomba kujua mbona wanazidi tu kulikoni mara leo huyu ana million 150 mara 200 hujakaa sawa mwingine 750 asee!

Mi ninashangaa sana maana kila ukipita huko unakutana nao! Basi na sisi naomba mtuambie na sisi tupate hizo hela nzito nzito! Natumaini sijamkela mtu ni mawazo yangu tu

Nawasilisha 🙏
 
Inategemeana na mtu ila mimi nilipoomba ushauri hasa kwenye kununua Bond na fixed deposit nikwa sbsb nilikuwa nimepta nssf yangu kwa kuchangia miezi 190 na kibarua changu cha ngo kikawa kiemisha na kazi zikawa hazipo mwakahuu..hivyo nikapewa kitu kinaitwa deffered benefits..kama million 120. Kwa kuwa kwenye ngos unakuwa busy sana nasikuwahi kuinvest biashara kubwakubwa ndo nikaomba ushauri wapi pakuwepa ili nipate kipato wakati natafuta fursa mpya yakuwekekza bila harakaharaka
Okey nimekupata mzee
 
Humu kila mtu tajiri so be careful huyo mwenye million 700 ukute hata million moja hajawahi kushika, wenye hela ndefu wanajua au wanabiashara tayari, huwezi kuwa na hyo hela hujua chakufanya huo uwendawazimu na ndoto

umesema yote yaan uwe na mil 700 alafu huna biashara ya kufany yaan sema ni tatizo la kuwa na bando alafu huna cha kulifanyiaa ndo maana watu wanapost ujingaa
 
Back
Top Bottom